Mitaani wananchi wanaamini mpishi wa Dk Nchimbi alikula chakula chenye sumu akafa. Serikali ipo kimya na haikanushi

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Hii inaleta picha kamili kuwa wanachoamini wananchi kina ukweli.

Vifo vya viongozi wengi wa CCM vina utata ndio maana
CCM ni chama cha watu waovu kama alivyosema Humphrey Polepole.
 
Kwani katiba inasema mpishi wa kiongozi afe baada ya kufikisha umri wa miaka mingapi?

Acheni kumpangia Mungu

Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un"
 
Hii inaleta picha kamili kuwa wanachoamini wananchi kina ukweli.

Vifo vya viongozi wengi wa CCM vina utata ndio maana
CCM ni chama cha watu waovu kama alivyosema Humphrey Polepole.
 
Attachments

  • 1000024076.jpg
    1000024076.jpg
    45.1 KB · Views: 5
Hii inaleta picha kamili kuwa wanachoamini wananchi kina ukweli.

Vifo vya viongozi wengi wa CCM vina utata ndio maana
CCM ni chama cha watu waovu kama alivyosema Humphrey Polepole.
Hahahahaa ukweli unaweza kuwa ndio huo.... kwa CCM siwezi hata kukataaaa
 
Back
Top Bottom