ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Eti mmekaa sehemu mnapumzika mko hata wawili na jamaa mnalambalamba bia ila ukisema ugusie hata stori za mustakabali wa taifa hasa siasa jamaa anakukataa kabisa kwamba ni mwiko kusema chochote eti tutachukuliwa kipindi hiko tukae kimya aisee hii nchi inasikitisha Sana yaani uelewa uko chini ya kiwango kabisa uoga mpaka usio na maana na unakuta jamaa ni mtumishi wa serikali ila anaiogopa mpaka serikali yake.