kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 8,624
- 12,206
Wakenya wanatuona kama mazuzu. Kwenye Biblia imeandikwa ukipigwa shavu la kulia, mgeuzie na shavu la kushoto. Haya tuache mafisadi waitafune nchi.
NO REFORMS, NO ELECTION.Eti mmekaa sehemu mnapumzika mko hata wawili na jamaa mnalambalamba bia ila ukisema ugusie hata stori za mustakabali wa taifa hasa siasa jamaa anakukataa kabisa kwamba ni mwiko kusema chochote eti tutachukuliwa kipindi hiko tukae kimya aisee hii nchi inasikitisha Sana yaani uelewa uko chini ya kiwango kabisa uoga mpaka usio na maana na unakuta jamaa ni mtumishi wa serikali ila anaiogopa mpaka serikali yake.
Ndio maana unaona sisi sote humu pia tunatumia majina feki 🤣 !waTanganyika wengi ni waoga na wanafiki
Hii ni sera ya JF wala sio woga.Ndio maana unaona sisi sote humu pia tunatumia majina feki 🤣 !