ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Kuna sehemu juzi msibani kuna mtu alianzisha story za siasa kuna jamaa kainuka kaanza kusema mashushu wamemwagwa wengi kinoma kitaa kukamata wenye kujifanya wanampinga rais.Eti mmekaa sehemu mnapumzika mko hata wawili na jamaa mnalambalamba bia ila ukisema ugusie hata stori za mustakabali wa taifa hasa siasa jamaa anakukataa kabisa kwamba ni mwiko kusema chochote eti tutachukuliwa kipindi hiko tukae kimya aisee hii nchi inasikitisha Sana yaani uelewa uko chini ya kiwango kabisa uoga mpaka usio na maana na unakuta jamaa ni mtumishi wa serikali ila anaiogopa mpaka serikali yake.
ikiwa mtu ana maadili mema hawezi kuketi mahali na kuanza kumdiskasi mlezi wake ambae anamuwezesha kuketi mahali na kupata hata hivyo vibia tu.Eti mmekaa sehemu mnapumzika mko hata wawili na jamaa mnalambalamba bia ila ukisema ugusie hata stori za mustakabali wa taifa hasa siasa jamaa anakukataa kabisa kwamba ni mwiko kusema chochote eti tutachukuliwa kipindi hiko tukae kimya aisee hii nchi inasikitisha Sana yaani uelewa uko chini ya kiwango kabisa uoga mpaka usio na maana na unakuta jamaa ni mtumishi wa serikali ila anaiogopa mpaka serikali yake.
Kama jasiri jirekodi video ukikosoa serikali, hata hapa jf watu ni waoga ndio maana tunaficha idEti mmekaa sehemu mnapumzika mko hata wawili na jamaa mnalambalamba bia ila ukisema ugusie hata stori za mustakabali wa taifa hasa siasa jamaa anakukataa kabisa kwamba ni mwiko kusema chochote eti tutachukuliwa kipindi hiko tukae kimya aisee hii nchi inasikitisha Sana yaani uelewa uko chini ya kiwango kabisa uoga mpaka usio na maana na unakuta jamaa ni mtumishi wa serikali ila anaiogopa mpaka serikali yake.
πππ mko sehemu gani nijeWapiβ¦β¦.nipo posta hapa watu wanaongea kinoma
Stand ya zamani ya posta!!πππ mko sehemu gani nije
Hapo tumefikishwa Roho ya woga imefanya kupandwa wako wapi waandishi kama wakina Azori Gwanda,wapo wapi wanaharakati kama wakina mdude Nyagali.Hii hali haijaja yenyewe,imetengenezwa.Eti mmekaa sehemu mnapumzika mko hata wawili na jamaa mnalambalamba bia ila ukisema ugusie hata stori za mustakabali wa taifa hasa siasa jamaa anakukataa kabisa kwamba ni mwiko kusema chochote eti tutachukuliwa kipindi hiko tukae kimya aisee hii nchi inasikitisha Sana yaani uelewa uko chini ya kiwango kabisa uoga mpaka usio na maana na unakuta jamaa ni mtumishi wa serikali ila anaiogopa mpaka serikali yake.
Saana hali ya mitandaoni ni tofauti na ya mitaaniwaTanganyika wengi ni waoga na wanafiki
Huo ndio urithi mkubwa kabisa ambao CCM imewaachia watanganyikaEti mmekaa sehemu mnapumzika mko hata wawili na jamaa mnalambalamba bia ila ukisema ugusie hata stori za mustakabali wa taifa hasa siasa jamaa anakukataa kabisa kwamba ni mwiko kusema chochote eti tutachukuliwa kipindi hiko tukae kimya aisee hii nchi inasikitisha Sana yaani uelewa uko chini ya kiwango kabisa uoga mpaka usio na maana na unakuta jamaa ni mtumishi wa serikali ila anaiogopa mpaka serikali yake.