The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Nafikiri point siyo kitambo kuibiwa kwa kuwa ni private property. Swali ni je, Tanesco bado wanaendelea kuwalipa....!!Hii habari inahitaji mambo mawili ,Kwanza serikali ikanishe au ithibitishe
Pili ikithibitisha iseme wezi waliwezaje kufanikisha hii Nia mbovu na vifaa aliuziwa Nani wakati mwenye KAZI navifaa vya umeme ni TANESCO pekee?