The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Nafikiri point siyo kitambo kuibiwa kwa kuwa ni private property. Swali ni je, Tanesco bado wanaendelea kuwalipa....!!Hii habari inahitaji mambo mawili ,Kwanza serikali ikanishe au ithibitishe
Pili ikithibitisha iseme wezi waliwezaje kufanikisha hii Nia mbovu na vifaa aliuziwa Nani wakati mwenye KAZI navifaa vya umeme ni TANESCO pekee?
Change hii mentality mkuu!!Kumkumbuka kwa maovu aliyofanya dhidi ya Watanzania. Kuwaua, kuwabanbikia kesi, kusema uwongo na kuiba fedha na kuziweka China. Kuiba uchaguzi ili awe Rais wa maisha na kutuachia bunge la hovyo
Tulia niki wa 2Una ushahidi?
Nani a change mentality? Mwenye akili muache atumie akili yake ila nyie misukule mnaomuabudu Mwendazake you can go to hell as well. Magufuli ameanza kuiba kabla wewe hujajiunga JF. Just shut up your mouth if you think Magufuli was a patriotChange hii mentality mkuu!!
Mskaji hakuwahii dhuru watanzania(alikuwa masculine) nyingine ni White propaganda
Mskaji hakuweka na hana pesa China(hizi ni politics milage za [emoji112] PIRA huku akiita watanganyika wa ngorongoro ni primitive!)
AMKA WE NYANGEMA
We jamaa mbona una makasiriko sana kila siku?Nani a change mentality? Mwenye akili muache atumie akili yake ila nyie misukule mnaomuabudu Mwendazake you can go to hell as well. Magufuli ameanza kuiba kabla wewe hujajiunga JF. Just shut up your mouth if you think Magufuli was a patriot