py thon
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 2,476
- 4,448
leo ndio mtambo wa ulinzi wa anga wa THAAD unaanza kufanya kazi Israel.
Huku kundi la Hezbollah wakijibu kauli ya msemaji wa Idf aliyesema watashambulia benki na mali zinazohusiana na Hezbollah,,
Kundi la Hezbollah wamesema watarusha makombola ambayo hawajaanza kuyatumia Tel Aviv huku ikiripotiwa miji 7 Israel vingora vya hatari vinasikika,makombora yasharushwa na yanatarajiwa kurushwa
Tusubiri tuone uwezo wa THAAD