Hayo maneno tu wangekua na silaha kali ya kupiga siku zote wasitumieleo ndio mtambo wa ulinzi wa anga wa THAAD unaanza kufanya kazi Israel.
Huku kundi la Hezbollah wakijibu kauli ya msemaji wa Idf aliyesema watashambulia benki na mali zinazohusiana na Hezbollah,,kundi la Hezbollah wamesema watarusha makombola ambayo hawajaanza kuyatumia Tel Aviv huku ikiripotiwa miji 7 Israel vingora vya hatari vinasikika,makombora yasharushwa na yanatarajiwa kurushwa
Tusubiri tuone uwezo wa THAAD
Ndio hapo sasa unajiuliza.Hayo maneno tu wangekua na silaha kali ya kupiga siku zote wasitumie
Acha ujinga, vita ni akili na mipango. Unajua hiyo vita itachukua muda gani?Hayo maneno tu wangekua na silaha kali ya kupiga siku zote wasitumie
Wamejifunza kua Israel sio ya kuonewa huruma ,Hezbullah naona hawajajifunza kupitia Hamas kule Gaza, muda sio mrefu Lebanon itageuzwa kuwa mji wa magofu.
Kabla mwaka ujaisha Israel itakua na wazir mkuu mwingine au UN inafikiria PA kuwapeleka wakimbizi wa IsraelKAbla mwaka haujaisha Hezbollah itavunjwa vipande vipande
Unaua kiongozi watu bdo wako na moto ule ule ,yaani hata Vita ichukue miaka 5 Palestine itakua huru tuhNdio hapo sasa unajiuliza.
Kiongozi wao kauliwa, na mtarajiwa wa kumrithi kauliwa, pia mtarajiwa wa mtarajiwa wa urithi nae kauliwa. Halafu bado wanasema tutaanza.
Huu ni ujuha kabisa.
Hii ndoto nzuriKabla mwaka ujaisha Israel itakua na wazir mkuu mwingine au UN inafikiria PA kuwapeleka wakimbizi wa Israel
Na safari hii offer ya kukaa Uganda hawapati
Sio ndoto watu wako field wanafanyia kazi hili swala tatizo we una haraka xnaaaHii ndoto nzuri
Wakija Uganda, vita ya muafrika sio b-52.Na safari hii offer ya kukaa Uganda hawapati
Naunga mkono hoja ukiona wanakuambia sasa tunaingia new phase ujue Kuna silaha wamepenyezewa kutoka Iran,Ndio hapo sasa unajiuliza.
Kiongozi wao kauliwa, na mtarajiwa wa kumrithi kauliwa, pia mtarajiwa wa mtarajiwa wa urithi nae kauliwa. Halafu bado wanasema tutaanza.
Huu ni ujuha kabisa.
Wewe juha wa kidini unaota mchana huu?Kabla mwaka ujaisha Israel itakua na wazir mkuu mwingine au UN inafikiria PA kuwapeleka wakimbizi wa Israel
Na safari hii offer ya kukaa Uganda hawapati
Sawa lakini hizo nchi ambazo magaidi wanakaa na zenyewe zitabomolewa zitabaki majivu nyie kobazi mtabaki kulia lia wanawake na watoto ndio chaka lenu la kutafuta huruma ya duniaHii vita ni ya muda mrefu hivyo hapo wajipange kwa mtanange kwa miaka kadhaa sasa naona hapo mwenye hasara ni Israel kwakua yeye ni taifa itafikia kipindi airport zake hazifanyi kazi hamna mtu kutoka wala kuingia kupigana makundi sio vyepesi US mwenyewe hua analazimika kutengeneza makundi mwenzie ili kupigana kwa niaba yake, yeye ni kutoa pesa tu na vifaa huku ishu zake zikienda
Wajinze nini kwa akili yako bwashee kuvunja majengo ndio ushindi majengo yatajengwa upya utashangaa tangazo la vita uliliona Netanyahu alitangaza live kuwa ni kukomboa mateka bila mazungumzo na kuivunja hamas kafanikiwa lipi apo vita bado wanapigana hamas uku wamefungwa mikono nnjaa lkn mwaka sasa wkt Israel anapokea misaada kila aina bwashee kaa kwakutulia wazungu wanakimbia Israel kwa makundi wengine washaanza kuja kwetu tz kisiwa cha aman jiandae kujichukulia totoz za kizungu usiwe jinga. Pitapita mitaani utaona vizungu vimeongezeka kigamboni zaidi. Kawe mbezi.Hezbullah naona hawajajifunza kupitia Hamas kule Gaza, muda sio mrefu Lebanon itageuzwa kuwa mji wa magofu.
Wako sasa ndio ujuha kwani viongozi wa hizbullah wameanza kuuliwa juzi Jana naleoNdio hapo sasa unajiuliza.
Kiongozi wao kauliwa, na mtarajiwa wa kumrithi kauliwa, pia mtarajiwa wa mtarajiwa wa urithi nae kauliwa. Halafu bado wanasema tutaanza.
Huu ni ujuha kabisa.