Mitambo ya umeme wa Mafuta ikiwemo IPTL kuwashwa

Arudiiiiiiiiiiiii😆
images (6).jpeg
 
Magufuli alizima mitambo, Sasa mabwawa yamepungua maji, hivyo italazimika mitambo ya kufua umeme wa Bei ghali ya mafuta mazito kuwashwa rasmi, ili kunusuru mgao huu mkali wa umeme
Siasa za Tanzania zina mazongwe kibao.
 
Magufuli alizima mitambo, Sasa mabwawa yamepungua maji, hivyo italazimika mitambo ya kufua umeme wa Bei ghali ya mafuta mazito kuwashwa rasmi, ili kunusuru mgao huu mkali wa umeme
Watawala wa CCM huwa wanapenda kumjaribu Mungu sana.
Sasa ngoja awaoneshe kaxi!
 
Mkuu ile mitambo si ilisha uzwakumbuka kulikuwa na shauri la wafanyakazi wa iptl na mahakama ilisha toa amri
 
Magufuli alizima mitambo, Sasa mabwawa yamepungua maji, hivyo italazimika mitambo ya kufua umeme wa Bei ghali ya mafuta mazito kuwashwa rasmi, ili kunusuru mgao huu mkali wa umeme
Yaani maneno mengi, kumbe walitaka kufanya haya. Haya mmefanikiwa lakini itawagharimu sana. Mama Samia kuwa macho na washauri wako.
 
Back
Top Bottom