Mitambo ya umeme wa Mafuta ikiwemo IPTL kuwashwa

Mitambo ya umeme wa Mafuta ikiwemo IPTL kuwashwa

Serikali ilikata miti zaidi ya milioni 2 kujengwa bwawa la umeme na kila siku tunahimizwa na serikali hiyo hiyo kupanda miti ili kupunguza joto na kuleta mvua[emoji16][emoji16]..kiufupi mradi wa Rufiji ni mradi kichaa na majibu yataonekana tu soon kabla hata haujaanza.View attachment 2015648

Hatutaki Gas,Tunataka Maji,Upepo,Solar! Hivyo vyote ni Vyanzo vya Umeme[emoji3516]
 
Magufuli alizima mitambo, Sasa mabwawa yamepungua maji, hivyo italazimika mitambo ya kufua umeme wa Bei ghali ya mafuta mazito kuwashwa rasmi, ili kunusuru mgao huu mkali wa umeme
Tanzania ya CCM na dhana ya sizitaki mbichi hizi.. !! kikowapi? unasusa wakati huna mipango madhubuti, after 7 years your back to square 1.
 
Waruhusu uwekezaji kwenye umeme, ili kuleta usindani, Tanesco ya ccm ni ovyo sana
 
Magufuli alizima mitambo, Sasa mabwawa yamepungua maji, hivyo italazimika mitambo ya kufua umeme wa Bei ghali ya mafuta mazito kuwashwa rasmi, ili kunusuru mgao huu mkali wa umeme
IPTL inatoa umeme kiasi gani kwa sasa?
 
Magufuli alizima mitambo, Sasa mabwawa yamepungua maji, hivyo italazimika mitambo ya kufua umeme wa Bei ghali ya mafuta mazito kuwashwa rasmi, ili kunusuru mgao huu mkali wa umeme

Isije ikawa ni wale mainjinia wameanza kufanya yao ya kufungulia maji yatoke yote kutoka kwenye mabwawa ili umeme usizalishwe halafu biashara ya majenereta ishamiri na akina IPTL wapige hela.
Nawaza tu, sina uhakika.
 
ingawa sijawahi kumkubali mwendazake kwa mambo mengi sana ila kuna vitu vilikua under control kabisa, mambo ya umeme na maji tulishasahau kukatika kwakwe mvua zilikua nyingi mno haipiti wiki 2 au mwezi inapiga tena DSM hapa hapa. Ila tangu kasepa mmmh sijui what went wrong kwa kweli.
Maji shida, mvua shida, umeme shida vitu, vimepanda bei mabando vyakula yani tafrani shida nini?.
hahahahahah yaaani tafrani tupu
 
Ni mda mfupi sana wa kumaliza hayo maji,, na kama ni kweli basi wameyafungulia yatoke kwa wingi kama walivyokua wakifanya zamani.
Kuna watu wanafaidika na hiyo IPTL na baada ya kuzimwa nadhani waliumia sana na huenda ni ya wakubwa flani.
IPTL ina maslahi na wakubwa wengi huko CCM. Watu walishajiandalia mifumo ya kuwapa hela tu hata wakistaafu waendelee kumenya! Ghafla jamaa kazima mtambo wa kuwazalishia hela ulitegemea nini kama sio chuki na matusi kwa jembe😅
 
Kwahiyo yy angeleta mvua??
Aliyekwambia shida ni mvua ni nani?! Panda gari uende ukatazame huko hiyo mito wanayosema imekata maji.

Mto ruaha mara ya mwisho kukauka maji ni mwaka 1997/8 na baada ya hapo ilipiga mvua ya elninyo ukajaa tena na haikuwahi kutokea tena.

Nyie kila mnachoambiwa mnaamini.
 
Mvua yenyewe ilikuwa inamuogopa. Inayesha hata Mwaka mzima mfululizo. Amekufa tu majanga yote yamerudi Tanzania. Kwani tutakosea wapi? Yeye alipatia wapi?
Tuache ugagula tumrudie Mwenyezi Mungu
Hawawezi sababu hawaamini kwenye hilo, wanajua kunyonya watu masikini tu.
 
Back
Top Bottom