Mitambo ya umeme wa Mafuta ikiwemo IPTL kuwashwa

Mitambo ya umeme wa Mafuta ikiwemo IPTL kuwashwa

Naona wakina lugemalira walitolewa gerezani kimkakati zaidi.
 
Si walituaminisha akina January kuwa Jiwe alikuwa kiongozi mbovu.
Ngoja Sasa mpaka nguo za ndani zitambana.
Usicheze na mtu aliyeyatoa maisha kwa ajili ya watu wake.
 
Magufuli alizima mitambo, Sasa mabwawa yamepungua maji, hivyo italazimika mitambo ya kufua umeme wa Bei ghali ya mafuta mazito kuwashwa rasmi, ili kunusuru mgao huu mkali wa umeme
Weee ndo mmiliki wa IPTL naona unafurahi kwa ku enjoy kurudi sokoni
 
Sipati picha Lile singasinga litaanza kuvimbiana Tena matumbo
 
Magufuli alizima mitambo, Sasa mabwawa yamepungua maji, hivyo italazimika mitambo ya kufua umeme wa Bei ghali ya mafuta mazito kuwashwa rasmi, ili kunusuru mgao huu mkali wa umeme
Kuliko iptl kuwashwa magufulists tupo tayari tubaki gizani. Limtambo ilisemekana linakunywa mafuta mazito halafu bei mbaya ile mbaya. Wezi wakipiga nalo hilo limtambo hela zote za tanesco. Yaani hawa wezi hawakubali kushindwa. Ila tunapambana na huyo januari wao hadi mama amteme. Vinginevyo tusubiriane 2025.
 
Mpuuzi mkubwa ewe kipofu!

Hata kwa akili yako finyu hujiongezi tu kwamba watu wanataka kupiga?!

Waheed mwanaha...
Na hili litapita tuu kama upepo na maisha yataendelea kwa manung'uniko na malalamiko kama kawaida maana ndivyo walivyo....
 
Kalasinga wa IPTL dili lingine la ESCROW hilo wengine tayarisheni mifuko ya sandarusi kubebea mi dollars
Si ndiye alitoka lupango majuzi tu!!!!! Tutakoma na bei zake acha afukie mashimo. God Kam kumbuka Tena apige sopu sopu
 
Hapa ndo maanini ishu ya kukatika kwa umeme ni dili la watu tuu...na sasa ndo tutaisoma namba mamaeee
 
Serikali ilikata miti zaidi ya milioni 2 kujengwa bwawa la umeme na kila siku tunahimizwa na serikali hiyo hiyo kupanda miti ili kupunguza joto na kuleta mvua[emoji16][emoji16]..kiufupi mradi wa Rufiji ni mradi kichaa na majibu yataonekana tu soon kabla hata haujaanza.
 
Zile kampuni za mabeberu zinazolamba capacity charge naona zikirudi ulingoni, sijui ni nani atamnusuru myonge wa danganyika na haya majanga ya wapigaji........
 
Seth na Rugemalira kupiga hela tena😁😁
Lazima zirudi, ni miradi ya watu wakubwa hii. Machozi ya miaka 5 ya wakubwa lazima ifutwe kwa kitambaa chekundu. Mama Tanzania na miaka 60 ya uhuru.

Ila mchezo uliochezwa si mchezo bali ni kuchezwa unyago. Mechi ilikuwa kali, yaani mpaka kuutua mpira ndani ya goli ilibidi waziri jasiri arudishwe uwanjani. Na kaucheza vizuri akiwaacha watanzania wakipigwa na butwaa.

Hii ndio Tanzania ya miaka 55 kasoro mi-5. Back to square 1.
 
Ni mda mfupi sana wa kumaliza hayo maji,, na kama ni kweli basi wameyafungulia yatoke kwa wingi kama walivyokua wakifanya zamani.
Kuna watu wanafaidika na hiyo IPTL na baada ya kuzimwa nadhani waliumia sana na huenda ni ya wakubwa flani.
Ndio hivyo ndugu yangu, Timu wanyonge hatuna chetu.
 
Magufuli alizima mitambo, Sasa mabwawa yamepungua maji, hivyo italazimika mitambo ya kufua umeme wa Bei ghali ya mafuta mazito kuwashwa rasmi, ili kunusuru mgao huu mkali wa umeme
Upigani Kazini,,[emoji26]
 
Serikali ilikata miti zaidi ya milioni 2 kujengwa bwawa la umeme na kila siku tunahimizwa na serikali hiyo hiyo kupanda miti ili kupunguza joto na kuleta mvua[emoji16][emoji16]..kiufupi mradi wa Rufiji ni mradi kichaa na majibu yataonekana tu soon kabla hata haujaanza.View attachment 2015648
Unamsikiliza huyo mkuria. Eti dora, sijui sora. Hamna logic ila ukali wa kikuria tu.
 
Back
Top Bottom