Ngungenge
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,914
- 3,386
Punguza presha matusi ya nnMpuuzi mkubwa ewe kipofu!
Hata kwa akili yako finyu hujiongezi tu kwamba watu wanataka kupiga?!
Waheed mwanaha...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza presha matusi ya nnMpuuzi mkubwa ewe kipofu!
Hata kwa akili yako finyu hujiongezi tu kwamba watu wanataka kupiga?!
Waheed mwanaha...
Weee ndo mmiliki wa IPTL naona unafurahi kwa ku enjoy kurudi sokoniMagufuli alizima mitambo, Sasa mabwawa yamepungua maji, hivyo italazimika mitambo ya kufua umeme wa Bei ghali ya mafuta mazito kuwashwa rasmi, ili kunusuru mgao huu mkali wa umeme
Habari mkuu!Seth na Rugemalira kupiga hela tena[emoji16][emoji16]
Hii ndio inadhihirisha kuwa alikuwa ni chaguo la Mungu.Mvua yenyewe ilikuwa inamuogopa. Inayesha hata Mwaka mzima mfululizo. Amekufa tu majanga yote yamerudi Tanzania. Kwani tutakosea wapi? Yeye alipatia wapi?
Tuache ugagula tumrudie Mwenyezi Mungu
Kuliko iptl kuwashwa magufulists tupo tayari tubaki gizani. Limtambo ilisemekana linakunywa mafuta mazito halafu bei mbaya ile mbaya. Wezi wakipiga nalo hilo limtambo hela zote za tanesco. Yaani hawa wezi hawakubali kushindwa. Ila tunapambana na huyo januari wao hadi mama amteme. Vinginevyo tusubiriane 2025.Magufuli alizima mitambo, Sasa mabwawa yamepungua maji, hivyo italazimika mitambo ya kufua umeme wa Bei ghali ya mafuta mazito kuwashwa rasmi, ili kunusuru mgao huu mkali wa umeme
Na hili litapita tuu kama upepo na maisha yataendelea kwa manung'uniko na malalamiko kama kawaida maana ndivyo walivyo....Mpuuzi mkubwa ewe kipofu!
Hata kwa akili yako finyu hujiongezi tu kwamba watu wanataka kupiga?!
Waheed mwanaha...
Si ndiye alitoka lupango majuzi tu!!!!! Tutakoma na bei zake acha afukie mashimo. God Kam kumbuka Tena apige sopu sopuKalasinga wa IPTL dili lingine la ESCROW hilo wengine tayarisheni mifuko ya sandarusi kubebea mi dollars
Bora umemjibu maana mie nlikuwa namuandalia kubwa kuliko....Mpuuzi mkubwa ewe kipofu!
Hata kwa akili yako finyu hujiongezi tu kwamba watu wanataka kupiga?!
Waheed mwanaha...
Lazima zirudi, ni miradi ya watu wakubwa hii. Machozi ya miaka 5 ya wakubwa lazima ifutwe kwa kitambaa chekundu. Mama Tanzania na miaka 60 ya uhuru.Seth na Rugemalira kupiga hela tena😁😁
Ndio hivyo ndugu yangu, Timu wanyonge hatuna chetu.Ni mda mfupi sana wa kumaliza hayo maji,, na kama ni kweli basi wameyafungulia yatoke kwa wingi kama walivyokua wakifanya zamani.
Kuna watu wanafaidika na hiyo IPTL na baada ya kuzimwa nadhani waliumia sana na huenda ni ya wakubwa flani.
Upigani Kazini,,[emoji26]Magufuli alizima mitambo, Sasa mabwawa yamepungua maji, hivyo italazimika mitambo ya kufua umeme wa Bei ghali ya mafuta mazito kuwashwa rasmi, ili kunusuru mgao huu mkali wa umeme
Hebu muelezee wanatakaje kupiga?Mpuuzi mkubwa ewe kipofu!
Hata kwa akili yako finyu hujiongezi tu kwamba watu wanataka kupiga?!
Waheed mwanaha...
Unamsikiliza huyo mkuria. Eti dora, sijui sora. Hamna logic ila ukali wa kikuria tu.Serikali ilikata miti zaidi ya milioni 2 kujengwa bwawa la umeme na kila siku tunahimizwa na serikali hiyo hiyo kupanda miti ili kupunguza joto na kuleta mvua[emoji16][emoji16]..kiufupi mradi wa Rufiji ni mradi kichaa na majibu yataonekana tu soon kabla hata haujaanza.View attachment 2015648