Serikali ilikata miti zaidi ya milioni 2 kujengwa bwawa la umeme na kila siku tunahimizwa na serikali hiyo hiyo kupanda miti ili kupunguza joto na kuleta mvua[emoji16][emoji16]..kiufupi mradi wa Rufiji ni mradi kichaa na majibu yataonekana tu soon kabla hata haujaanza.View attachment 2015648
You're right, just connect the dotsI smell Something fishy around here
Tanzania ya CCM na dhana ya sizitaki mbichi hizi.. !! kikowapi? unasusa wakati huna mipango madhubuti, after 7 years your back to square 1.Magufuli alizima mitambo, Sasa mabwawa yamepungua maji, hivyo italazimika mitambo ya kufua umeme wa Bei ghali ya mafuta mazito kuwashwa rasmi, ili kunusuru mgao huu mkali wa umeme
Mzee Ruge na Singasinga sasa hivi wanachekelea chekelea tu kikowapi?, wamewashaa babaaaaaaa wamewashaaaa !! ha ha haBiashara za watu ziendelee!
angekuwepo angejaza maji mtoni kwa madumu ili umeme upatikane.Mtamkumbuka
IPTL inatoa umeme kiasi gani kwa sasa?Magufuli alizima mitambo, Sasa mabwawa yamepungua maji, hivyo italazimika mitambo ya kufua umeme wa Bei ghali ya mafuta mazito kuwashwa rasmi, ili kunusuru mgao huu mkali wa umeme
Magufuli alizima mitambo, Sasa mabwawa yamepungua maji, hivyo italazimika mitambo ya kufua umeme wa Bei ghali ya mafuta mazito kuwashwa rasmi, ili kunusuru mgao huu mkali wa umeme
hahahahahah yaaani tafrani tupuingawa sijawahi kumkubali mwendazake kwa mambo mengi sana ila kuna vitu vilikua under control kabisa, mambo ya umeme na maji tulishasahau kukatika kwakwe mvua zilikua nyingi mno haipiti wiki 2 au mwezi inapiga tena DSM hapa hapa. Ila tangu kasepa mmmh sijui what went wrong kwa kweli.
Maji shida, mvua shida, umeme shida vitu, vimepanda bei mabando vyakula yani tafrani shida nini?.
Na maji nayo nayo yanafunguliwa.wanasema Mama anafungua nchi ππ
IPTL ina maslahi na wakubwa wengi huko CCM. Watu walishajiandalia mifumo ya kuwapa hela tu hata wakistaafu waendelee kumenya! Ghafla jamaa kazima mtambo wa kuwazalishia hela ulitegemea nini kama sio chuki na matusi kwa jembeπNi mda mfupi sana wa kumaliza hayo maji,, na kama ni kweli basi wameyafungulia yatoke kwa wingi kama walivyokua wakifanya zamani.
Kuna watu wanafaidika na hiyo IPTL na baada ya kuzimwa nadhani waliumia sana na huenda ni ya wakubwa flani.
Aliyekwambia shida ni mvua ni nani?! Panda gari uende ukatazame huko hiyo mito wanayosema imekata maji.Kwahiyo yy angeleta mvua??
Hawawezi sababu hawaamini kwenye hilo, wanajua kunyonya watu masikini tu.Mvua yenyewe ilikuwa inamuogopa. Inayesha hata Mwaka mzima mfululizo. Amekufa tu majanga yote yamerudi Tanzania. Kwani tutakosea wapi? Yeye alipatia wapi?
Tuache ugagula tumrudie Mwenyezi Mungu