Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Mti wenyewe mbona hata siyo mnene !Menejimenti ya Hifadhi ya Taifa ya Nyerere katika mikoa ya Morogoro na Pwani imelazimika kuuhifadhi mti wa asili jamii ya Marula uliokuwa ukitumiwa na watu mbalimbali wa zamani...
Tukupe tender ukakate?Imani potofu tu hiyo inakatika buana
Nipeni mimi muone tena dk3 nyingiTukupe tender ukakate?
Ktk mkataba wa hiyo tenda kutakua na kipengele kwamba kwa madhara yoyote yatakayotokea mtoa tenda hatahusika kwa namna yoyote ileTukupe tender ukakate?
Dodoma Mjini kabisa karibia na St Gasper Hotel kuna mbuyu upo pembeni kabisa ya rami, barabara ya rami imepita pembeni yake kabisa. Umeshindikana mpaka leo. Aise dunia ina mambo.Imani potofu tu hiyo inakatika buana
Weee usiniambiye [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji1787] [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dodoma Mjini kabisa karibia na St Gasper Hotel kuna mbuyu upo pembeni kabisa ya rami, barabara ya rami imepita pembeni yake kabisa. Umeshindikana mpaka leo. Aise dunia ina mambo.
Kumbuka ule mti ulikatwa kule Tabora asubuhi wakaukuta umesimama tena, wanume wakachukua magome yake wakaenda chemsha wakanywa wakawa na nguvu za kupitiza. Hahahaha!
Walitaka kuukata kupana kuni mkuuKwanini walitaka kuukata?