Mitambo yashindwa kuondoa mti wa asili Hifadhi ya Taifa ya Nyerere

Mitambo yashindwa kuondoa mti wa asili Hifadhi ya Taifa ya Nyerere

Haya mambo bwana, Kuna mti umekuwa ukikatwa miaka nenda rudi bila mafanikio, mti haukatiki kabisa,, Jamaa mmoja kaingia chimbo kuwekwa sawa, kaukata ule mti kwa siku kadhaa ukakatika, humo ndani vikakutwa vibakuli, vikombe na vijiko.

Yule bwana aliugua kiasi cha kuchungulia kaburi.
 
Huko Shinyanga Kuna kajumba ka bibi fulani, kila wakikiondoa kesho yake kipo vilevile. Wakaachana na kijumba na kupindisha barabara. Hayo ni mambo yetu ya Afrika, tulidharau mila zetu na kukumbatia utamaduni wa kizungu.
 
Haujashindikana kuondolewa, waliopewa kazi ya kuuondoa ni incompetent.
Dodoma Mjini kabisa karibia na St Gasper Hotel kuna mbuyu upo pembeni kabisa ya rami, barabara ya rami imepita pembeni yake kabisa. Umeshindikana mpaka leo. Aise dunia ina mambo.

Kumbuka ule mti ulikatwa kule Tabora asubuhi wakaukuta umesimama tena, wanume wakachukua magome yake wakaenda chemsha wakanywa wakawa na nguvu za kupitiza. Hahahaha!
 
Weee usiniambiye [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji1787] [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kijiji cha Mfuto, Ilolanguru wilaya ya Uyui. Kijiji hiki kina mti ambao ulianguka kwa miaka 3 na ukasimama ghafla tu. Watu wakachukua magome kwa ajili ya dawa. Wanaume 19 waliokunywa magome ya mti huo, nguvu zao za kiume zikaongezeka sana, ikawa tabu kwao[emoji28]. Tabora kuna mambo unaweza kudhani ni movie kumbe ni Live, hii ilitokea mwaka 2014.
 
Back
Top Bottom