dickchiller
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,847
- 3,149
Mda wa kuoga na bulletproof umefika maana hii ni zaidi ya hatari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli hapa ni sehemu ya fikra pana,sasa wewe mbona hujaonesha zako,au fikra pana zako ni kusifia tu wanaume wakiongea,
Hayo mashirika yote yanasaidiana,ni kuulizana tu,nani ana agent eneo LA East Africa,ili atekeleze covert operation yetu,ya kuichafua nchi ya TZ,sasa HV vyombo vyote vya habari,hawazungumzii kinachofanywa na Raisi wa nchi maskini duniani,kukomboa wananchi wake,sasa HV wanazungumzia mwanasiasa maarufu wa TZ,kupigwa risasi,hii ndio inavuma zaidi,Waisrael(MOSSAD) wanaingiaje hapa au umejickia tu kuwataja?
Wewe unadhani hawa wapiga dili wenye nywele za midoli waliojificha kwenye kichaka chenye jina la wafadhili na wawekezaji wataandika vipi?? sidhani kama wao wanamjua Magufuli zaidi yetu sisi anayetutawala pia tatizo Watanganyika wengi kwa kufata ushabiki wanashindwa kujua nchi hii inapigana vita gani kwa sasa kwenye vita mbinu zote utumika kwa adui kuweza kugawanya au kukatisha tamaa mm sidhani kama Lissu alikuwa ni threat kuanzia kiuchumi,kijamii au kiusalama namna hyo mm naamini wenzetu wameamua kupigana vita vyingine vita ambayo ni mbaya sana yote ni kumfrustrate na kumchafua kiongozi wetu mbele ya jamii za kistarabu duniani namwonea huruma sana Rais wangu anapambana na watu wenye kila mbinu ikiwamo za kimafia Wacanada kupitia makampuni yao ya Goldcorp,Barrick Gold,Eldorado Gold,Yamana Gold na Kinross Gold ndio wamiliki na wauzaji wa karibu 85% ya dhahabu yote duniani huku
De Beers Group of Company ambao kwa sasa ndio wamiliki wa mgodi wa diamond wao wanamiliki 90% ya soko la Almasi duniani so naona vita tunayopigana sasa ni ngumu kwani siku zote matajiri wakiona fedha imeshindwa kufanya ushawishi au kazi njia pekee wanayotumia ni umafia tu
Ukianza kujichafua mwenyewe kwa kauli mbovu na uongozi mbaya, halafu mitandao ikakusema, halafu likatokea jambo linaloweza kuhusishwa na moja ya kauli zako mbovu, jambo hilo halikuchafui wewe, wewe mwenyewe ndiye uliyejichafua.Nimeingia mtandaoni na ku search Magufuli (Nilitaka nipate picha yake) ila search results zilipokuja ilikuwa ni kuhusu jaribio la kumuua Tundu Lissu na jina lake
Kusema kweli hii imemchafua sana rais japo japo anaweza akawa hahusikiView attachment 583609 View attachment 583608
Najua ww ubongo wako unaongozwa na emotion na badala ya akili ndio maana unaropoka matusi hv unajua vita ni lazima uone ndege za kijeshi zikipita juu? hivi unaweza fananisha scenario ya Zimbabwe hapa? Mugabe aliwanyanganya raia wa zimbabwe wenye asili ya Ulaya wale hawakuwa Wamarekani au waingereza walikuwa ni wazimbabwe ndio maana wengi walikimbilia South Africa hawakwenda Ulaya au America pia unatakiwa kujua duniani kuna Biashara ambazo si kila mtu mwenye access nazo japo kila mtu anaruhusiwa kununua na kuuza? hapa nazungumzia biashara ya Gold,Oil na Diamond (GOD) na ndio maana biashara hii ni makampuni machache ndio yenye Access ya kufanya biashara hii duniani ngoja niishie hapo tu nisipoteze muda wangu kwa mtu ambae maswali na majibu anayo kichwani mwakeAcha upuuzi wewe, kitu gani hicho alichowafanyia wafadhili hadi waanze kupiga watu risasi?, mbona ndio kwanza majadiliano yanaendelea na hakuna mkataba wowote uliovunjwa?, iweje useme kuna vita?, Mugabe alievunja mikataba yote ya wazungu, kuwanyang'anya mashamba yote na kuwagawia wazawa mbona hawajawapiga risasi wapinzani wake na badala yake wamemuwekea vikwazo tu na kumzuia kwenda Ulaya?, ni kitu gani hicho kikubwa kilichofanyika hadi wazungu sasa waje kuanza kupiga risasi wapinzani?, kuzuia mchanga wa madini?, Acha upumbavu wewe!
Huwa sielewi ni kwa nini mipango ya kuliendeleza taifa letu ipewe jina la vita, je ni kweli kuhakikisha matumiszi sahihi ya rasilimali zetu ni vita? Au inakusudiwa nini hapaWewe unadhani hawa wapiga dili wenye nywele za midoli waliojificha kwenye kichaka chenye jina la wafadhili na wawekezaji wataandika vipi?? sidhani kama wao wanamjua Magufuli zaidi yetu sisi anayetutawala pia tatizo Watanganyika wengi kwa kufata ushabiki wanashindwa kujua nchi hii inapigana vita gani kwa sasa kwenye vita mbinu zote utumika kwa adui kuweza kugawanya au kukatisha tamaa mm sidhani kama Lissu alikuwa ni threat kuanzia kiuchumi,kijamii au kiusalama namna hyo mm naamini wenzetu wameamua kupigana vita vyingine vita ambayo ni mbaya sana yote ni kumfrustrate na kumchafua kiongozi wetu mbele ya jamii za kistarabu duniani namwonea huruma sana Rais wangu anapambana na watu wenye kila mbinu ikiwamo za kimafia Wacanada kupitia makampuni yao ya Goldcorp,Barrick Gold,Eldorado Gold,Yamana Gold na Kinross Gold ndio wamiliki na wauzaji wa karibu 85% ya dhahabu yote duniani huku
De Beers Group of Company ambao kwa sasa ndio wamiliki wa mgodi wa diamond wao wanamiliki 90% ya soko la Almasi duniani so naona vita tunayopigana sasa ni ngumu kwani siku zote matajiri wakiona fedha imeshindwa kufanya ushawishi au kazi njia pekee wanayotumia ni umafia tu
kila kitu kina wakati wake mkuu ulitaka wasiandike habari ya mbunge kupigwa risasi cku ya leo waandike habari gani?Hayo mashirika yote yanasaidiana,ni kuulizana tu,nani ana agent eneo LA East Africa,ili atekeleze covert operation yetu,ya kuichafua nchi ya TZ,sasa HV vyombo vyote vya habari,hawazungumzii kinachofanywa na Raisi wa nchi maskini duniani,kukomboa wananchi wake,sasa HV wanazungumzia mwanasiasa maarufu wa TZ,kupigwa risasi,hii ndio inavuma zaidi,
Duniani kuna vita vya aina tatuHuwa sielewi ni kwa nini mipango ya kuliendeleza taifa letu ipewe jina la vita, je ni kweli kuhakikisha matumiszi sahihi ya rasilimali zetu ni vita? Au inakusudiwa nini hapa
Sent using Jamii Forums mobile app