Mitandao na vyombo vya habari vya nje vinaandika 'mpinzani mkubwa wa Magufuli apigwa risasi'

Mitandao na vyombo vya habari vya nje vinaandika 'mpinzani mkubwa wa Magufuli apigwa risasi'

******** leo lazima kachinja kuku japo siwezi kutabiri aliyempikia
 
Ki ukweli katika tukio hili nimeogopa sana! Zaidi zaidi naogopa sana namna watanzania tunavyotaka kulibeba ki ushabiki.

Nimeona Chama chake wamebishana kidogo na bunge kuhusu sehemu ya kumtibia. Wamefanya vema sana kuamua kumpeleka wanapohisi kuna usalama zaidi

Hata hivyo hofu yangu ni namna tunavyotaka kunyoosha vidole mapema sana!

Nawaza kama kweli Ghadafi aliwakosea waliomuondoa! Lakini najiuliza kama kweli wale waliofanikisha kumuua walifanya vile kwa upendo wao wa dhati kwa watu wa Libya!

Najaribu kuwaza yanayotokea Congo kama kweli ni mikono ya watu wa Congo!!

Naogopa sana baadhi ya watu mnapotaka kujithibitishia kuwafahamu wahusika!!

Hofu yangu inazidi pale napokumbuka nilichokisoma kwenye somo la historia kidato cha tatu enzi hizo cha divide and rule! Hapa nakumbuka mwalimu wangu alipata kusema wa Africa walifanywa kuwachukia ma chief wao!!

Ki ukweli naogopa sana, Mungu atusaidie tu na atuepushe na hali mbaya inayoweza kutokea!

Msitu kuwaka moto ni jambo dogo sana linaloanza na jani moja kuungua!

Katika maisha yangu hadi sasa, sijawahi kuamini hata siku moja kama kweli utajiri tulionao Africa unawafurahisha wasio nao!

Huwa napata hofu tena kila nikiona hawa mabwana wakubwa wakijaribu kuonyesha kama wanatupenda na kutuhurumia!

Ki ukweli kabisa mimi binafsi, uncle Jei Jei nina hofu sana na watu wanavyotaka kulibeba!

Naogopa tusijekuchonganishwa hapa halafu wao wakapata mwanya wa kutimiza malengo yao!
Ni dhambi kuhisi mambo mabaya usiyokuwa na uhakika nayo, lakini nimeona niyaseme haya baada ya kuona kundi kubwa la watu wakijaribu kuwa na mihemuko ya hadi kupekua wasemavyo watu wa nje!!

Tusiwe wepesi hivyo! Sio rahisi sana jirani anayemtamani mkeo /mmeo atafurahia kuona mafanikio ya nyumbani kwako! Nadhani huenda hata akakuombea mafarakano ili yeye apate upenyo wa kumumiliki rasmi!
 
Waisrael(MOSSAD) wanaingiaje hapa au umejickia tu kuwataja?
Hayo mashirika yote yanasaidiana,ni kuulizana tu,nani ana agent eneo LA East Africa,ili atekeleze covert operation yetu,ya kuichafua nchi ya TZ,sasa HV vyombo vyote vya habari,hawazungumzii kinachofanywa na Raisi wa nchi maskini duniani,kukomboa wananchi wake,sasa HV wanazungumzia mwanasiasa maarufu wa TZ,kupigwa risasi,hii ndio inavuma zaidi,
 
Lakini hivi vitendo vya watu kutekwa na kupigwa risasi huu utamaduni sijui umekujaje kwenye nchi yetu, haya mambo tulikuwa tunayasikia nchi nyingine, na ubaya wake wanaofanya hivi eti hawajulikani sasa hii itakuwa inajengea hofu hata raia pia tutakuwa tunashindwa kuaminiana hata baina ya wenyewe kwa mwenyewe coz sisi sote ni Watanzania watoto wa baba na mama mmoja coz tumeoleana kwa makabila tofauti sasa huyu mwenye roho ngumu ya kufikia hatua ya kumuumiza Mtanzania mwenzie anatokea wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli lakini serikali ingeamua kumuua lissu ingemuua muda murefu sana.

post using my macbook air using jamiiforums app
 
Acha upuuzi wewe, kitu gani hicho alichowafanyia wafadhili hadi waanze kupiga watu risasi?, mbona ndio kwanza majadiliano yanaendelea na hakuna mkataba wowote uliovunjwa?, iweje useme kuna vita?, Mugabe alievunja mikataba yote ya wazungu, kuwanyang'anya mashamba yote na kuwagawia wazawa mbona hawajawapiga risasi wapinzani wake na badala yake wamemuwekea vikwazo tu na kumzuia kwenda Ulaya?, ni kitu gani hicho kikubwa kilichofanyika hadi wazungu sasa waje kuanza kupiga risasi wapinzani?, kuzuia mchanga wa madini?, Acha upumbavu wewe!
Wewe unadhani hawa wapiga dili wenye nywele za midoli waliojificha kwenye kichaka chenye jina la wafadhili na wawekezaji wataandika vipi?? sidhani kama wao wanamjua Magufuli zaidi yetu sisi anayetutawala pia tatizo Watanganyika wengi kwa kufata ushabiki wanashindwa kujua nchi hii inapigana vita gani kwa sasa kwenye vita mbinu zote utumika kwa adui kuweza kugawanya au kukatisha tamaa mm sidhani kama Lissu alikuwa ni threat kuanzia kiuchumi,kijamii au kiusalama namna hyo mm naamini wenzetu wameamua kupigana vita vyingine vita ambayo ni mbaya sana yote ni kumfrustrate na kumchafua kiongozi wetu mbele ya jamii za kistarabu duniani namwonea huruma sana Rais wangu anapambana na watu wenye kila mbinu ikiwamo za kimafia Wacanada kupitia makampuni yao ya Goldcorp,Barrick Gold,Eldorado Gold,Yamana Gold na Kinross Gold ndio wamiliki na wauzaji wa karibu 85% ya dhahabu yote duniani huku
De Beers Group of Company ambao kwa sasa ndio wamiliki wa mgodi wa diamond wao wanamiliki 90% ya soko la Almasi duniani so naona vita tunayopigana sasa ni ngumu kwani siku zote matajiri wakiona fedha imeshindwa kufanya ushawishi au kazi njia pekee wanayotumia ni umafia tu
 
as much as I would like to believe this, I don't think this man could be stupid enough to order a hit on that piece of crap especially today! what would that accomplish? hesabu zinagoma kabisa
 
Nimeingia mtandaoni na ku search Magufuli (Nilitaka nipate picha yake) ila search results zilipokuja ilikuwa ni kuhusu jaribio la kumuua Tundu Lissu na jina lake
Kusema kweli hii imemchafua sana rais japo japo anaweza akawa hahusikiView attachment 583609 View attachment 583608
Ukianza kujichafua mwenyewe kwa kauli mbovu na uongozi mbaya, halafu mitandao ikakusema, halafu likatokea jambo linaloweza kuhusishwa na moja ya kauli zako mbovu, jambo hilo halikuchafui wewe, wewe mwenyewe ndiye uliyejichafua.

Magufuli kajichafua mwenyewe siku nyingi kwa kauli zake mbovu na ubabe wa kijinga usio na lazima.
 
Acha upuuzi wewe, kitu gani hicho alichowafanyia wafadhili hadi waanze kupiga watu risasi?, mbona ndio kwanza majadiliano yanaendelea na hakuna mkataba wowote uliovunjwa?, iweje useme kuna vita?, Mugabe alievunja mikataba yote ya wazungu, kuwanyang'anya mashamba yote na kuwagawia wazawa mbona hawajawapiga risasi wapinzani wake na badala yake wamemuwekea vikwazo tu na kumzuia kwenda Ulaya?, ni kitu gani hicho kikubwa kilichofanyika hadi wazungu sasa waje kuanza kupiga risasi wapinzani?, kuzuia mchanga wa madini?, Acha upumbavu wewe!
Najua ww ubongo wako unaongozwa na emotion na badala ya akili ndio maana unaropoka matusi hv unajua vita ni lazima uone ndege za kijeshi zikipita juu? hivi unaweza fananisha scenario ya Zimbabwe hapa? Mugabe aliwanyanganya raia wa zimbabwe wenye asili ya Ulaya wale hawakuwa Wamarekani au waingereza walikuwa ni wazimbabwe ndio maana wengi walikimbilia South Africa hawakwenda Ulaya au America pia unatakiwa kujua duniani kuna Biashara ambazo si kila mtu mwenye access nazo japo kila mtu anaruhusiwa kununua na kuuza? hapa nazungumzia biashara ya Gold,Oil na Diamond (GOD) na ndio maana biashara hii ni makampuni machache ndio yenye Access ya kufanya biashara hii duniani ngoja niishie hapo tu nisipoteze muda wangu kwa mtu ambae maswali na majibu anayo kichwani mwake
 
Wewe unadhani hawa wapiga dili wenye nywele za midoli waliojificha kwenye kichaka chenye jina la wafadhili na wawekezaji wataandika vipi?? sidhani kama wao wanamjua Magufuli zaidi yetu sisi anayetutawala pia tatizo Watanganyika wengi kwa kufata ushabiki wanashindwa kujua nchi hii inapigana vita gani kwa sasa kwenye vita mbinu zote utumika kwa adui kuweza kugawanya au kukatisha tamaa mm sidhani kama Lissu alikuwa ni threat kuanzia kiuchumi,kijamii au kiusalama namna hyo mm naamini wenzetu wameamua kupigana vita vyingine vita ambayo ni mbaya sana yote ni kumfrustrate na kumchafua kiongozi wetu mbele ya jamii za kistarabu duniani namwonea huruma sana Rais wangu anapambana na watu wenye kila mbinu ikiwamo za kimafia Wacanada kupitia makampuni yao ya Goldcorp,Barrick Gold,Eldorado Gold,Yamana Gold na Kinross Gold ndio wamiliki na wauzaji wa karibu 85% ya dhahabu yote duniani huku
De Beers Group of Company ambao kwa sasa ndio wamiliki wa mgodi wa diamond wao wanamiliki 90% ya soko la Almasi duniani so naona vita tunayopigana sasa ni ngumu kwani siku zote matajiri wakiona fedha imeshindwa kufanya ushawishi au kazi njia pekee wanayotumia ni umafia tu
Huwa sielewi ni kwa nini mipango ya kuliendeleza taifa letu ipewe jina la vita, je ni kweli kuhakikisha matumiszi sahihi ya rasilimali zetu ni vita? Au inakusudiwa nini hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa unajua oparesheni za intelligencies za Ulaya wanavyofanya kazi?, unajua CIA wanafanyaje?
Nimekuuliza, ni nini hasa kilichofanyika hadi intelligencies za nje waingilie kuja kuvuruga usalama? Kuvuruga usalama wa nchi flani, au hata kujaribu kubadili utawala huwa ni last option, namaanisha njia ya mwisho kabisa iliyobaki ili kunusuru maslahi yao kwenye nchi husika. QUOTE="izzo, post: 23297863, member: 292773"]Najua ww ubongo wako unaongozwa na emotion na badala ya akili ndio maana unaropoka matusi hv unajua vita ni lazima uone ndege za kijeshi zikipita juu? hivi unaweza fananisha scenario ya Zimbabwe hapa? Mugabe aliwanyanganya raia wa zimbabwe wenye asili ya Ulaya wale hawakuwa Wamarekani au waingereza walikuwa ni wazimbabwe ndio maana wengi walikimbilia South Africa hawakwenda Ulaya au America pia unatakiwa kujua duniani kuna Biashara ambazo si kila mtu mwenye access nazo japo kila mtu anaruhusiwa kununua na kuuza? hapa nazungumzia biashara ya Gold,Oil na Diamond (GOD) na ndio maana biashara hii ni makampuni machache ndio yenye Access ya kufanya biashara hii duniani ngoja niishie hapo tu nisipoteze muda wangu kwa mtu ambae maswali na majibu anayo kichwani mwake[/QUOTE]
 
Hayo mashirika yote yanasaidiana,ni kuulizana tu,nani ana agent eneo LA East Africa,ili atekeleze covert operation yetu,ya kuichafua nchi ya TZ,sasa HV vyombo vyote vya habari,hawazungumzii kinachofanywa na Raisi wa nchi maskini duniani,kukomboa wananchi wake,sasa HV wanazungumzia mwanasiasa maarufu wa TZ,kupigwa risasi,hii ndio inavuma zaidi,
kila kitu kina wakati wake mkuu ulitaka wasiandike habari ya mbunge kupigwa risasi cku ya leo waandike habari gani?
 
izzo, ishu tu ya makinikia ambayo bado mazungumzo yanaendelea, na wanaweza kwenda mahakamani na wakashinda, na tukawalipa, ndio isababishe wao waanze kupiga risasi wapinzani?, hayo maoni yako ni aidha ya kupotosha kwa makusudi au ni ya kipuuzi tu.
 
Vyombo vya nje vimekosea nini hapo kwani....viko sahihi na mjp kahusika 100k%
 
Huwa sielewi ni kwa nini mipango ya kuliendeleza taifa letu ipewe jina la vita, je ni kweli kuhakikisha matumiszi sahihi ya rasilimali zetu ni vita? Au inakusudiwa nini hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Duniani kuna vita vya aina tatu
1 Military action war
2 Cyber warfare
3 Economic warfare
Kwa sasa sehemu kubwa ya dunia kunapiganwa vita namba 3 vita ambavyo madhara yake ni makubwa kuliko Military action. Economic warfare, the use of, or the threat to use, economic means against a country in order to weaken its economy and thereby reduce its political and military power kwenye rasilimali ndipo panapatikana Uchumi imara kwenye uchumi imara ndipo kunapatika nguvu za kijeshi na maendeleo kwenye maendeleo ndipo zinapatikana huduma bora za kijamii na kwenye huduma bora za kijamii ndipo panapatikana democrasia na siasa safi
 
Back
Top Bottom