Mitandao na vyombo vya habari vya nje vinaandika 'mpinzani mkubwa wa Magufuli apigwa risasi'

polisi na wanausalama wana hint gani.mbona tumeanza kuwadefend watu fulani ? kama kuna uchunguzi tuusubiri....!
 
Nyie wapumbavu mlitaka kuua Mungu amewaumbua mmekuja kupima upepo huku
Yan Nina matus yamejaa kinywa apa




mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Wacha serkali iendelee kupanda chuki

Nchi ikigeuka km somalia ndo watajua


mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
pre emptying attempt .hakuna zaidi hapa.
 
Hii ndio Tz yangu mm bora afe Tundu Lissu mwenye elimu yake na weledi wa hali ya juu kwenye masuala ya sheria ila abaki Bashite mwenye neg- brain kisa yu karibu na mjomba
 
izzo, ishu tu ya makinikia ambayo bado mazungumzo yanaendelea, na wanaweza kwenda mahakamani na wakashinda, na tukawalipa, ndio isababishe wao waanze kupiga risasi wapinzani?, hayo maoni yako ni aidha ya kupotosha kwa makusudi au ni ya kipuuzi tu.
Mkuu duniani zipo nyaja tatu ambazo zinazoleta migogoro kati ya nchi na nchi au kwa wanadamu pale yanapotokea matatizo au matukio ya uharifu ,mauaji au vita
Kwa level ya nchi ni
1 Political(Siasa)
2 Military (Kijeshi)
3 Economy (Uchumi)

Wakati kwa level ya wanadamu au watu ni
1 Sex(mapenzi)
2 Money(fedha au kipato)
3 Revenge(Kulipiza kisasi)
Je nyanja zote zimeangaliwa? mm naona watu wakiwa busy kumpoint mtu au taasisi kuhusika kitu ambacho kwenye akili yangu akiingii akilini uchunguzi una nyaja 6 za kufata ambazo ni
1 immediate action
2 Plan investigation
3 Data collection
4 Data analysis
5 Corrective actions
6 Reporting
na kwenye tukio lolote kila kitu huwa ni potential je nikisema inawezekana ni mpango wa maadui zetu kutaka kutuchafua mbele ya dunia ya kistarabu kwa nini upinge? mm nakataa kabisa Lissu hajawai kuwa threat kwenye nyaja zote tatu kiuchumi,kijamii wala kiusalama ndani ya Tanganyika
 
Ingetaka?itake mara ngapi sasa mungu kakataa hakuona umuhimu wa kumpokea lissu so acha mungu aitwe mungu na magufuli wako aitwe ivyo ivyo na uendelee kumtukuza tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha ushabiki wa kipumbavu. Na hii picha mnayojaribu kuijenga vichwani mwa watu inaichafua jf badala yake. Sasa hao kina Smith, Alain, kitungu.com na Reuters ndio ya kuanzishia thread?. Lengo lako kujaribu kushawishi kuwa rais anashambuliwa nje? Mjinga kweli wewe. Reuters hata wewe unaripoti kama hujui. Acha kupotosha haikusaidii. You have been warned.
 
Nyie wapumbavu mlitaka kuua Mungu amewaumbua mmekuja kupima upepo huku
Yan Nina matus yamejaa kinywa apa





mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Punguza jazba kiongozi kunywa maji then relax pia si vizuri kupoint mtu ambae huna uhakika
Katika Watanganyika wapuuzi nadhani huyu dada anaweza kushika namba moja unawezaje kumshutumu mtu moja kwa moja namna hii wakati ww si mahakama ,Police wala huna unachokijua kuhusu investigation
 
Mpiga deal ni nani..
Watu wanazungumzia attack ya Lissu we unaleta habar za ma deal. .
Mlioajiriwa serikalini mnajiikuuta mnauchungu na nchi..
Shame on you[emoji111]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani raisi akitaka kumuua huyo inashindikana???
Mbona atakufa kama kuku
Huyo anadhuliwa na wapiga dili wenzake walio mafichoni
 
Kama watu waliimba wana Imani na Lowassa akasema yeye angekua Jakaya mrisho kikwete angewapoteza wote huyo mtu simwamini hata kidogo Mtu anatama angekua IGP avunje watu miguu huyu mtu ana matatizo sana kwenye kauli zake hata kama anaweza asiwe anahusika lakini kauli zake ni hatari Washughulikie Bungeni mimi nitawashughulikia huku nje
 
Even magufuri and his state machineries their not smart how could they fail to provide Lissu with security...???

Vyombo gani vya ulinzi visijue kuna kitu kitafanyika potelea mbali ata km alikuwa anawindwa na ACACIAS why serikali ishindwe kumpa ulinzi??
 
Nyerere, mandela, Nkrumah, kenyatta senior hawakuwa na akili za VIAZIMBATATA km hawa marais wetu siku hizi wa Africa badal watuunganishe wanatutawanya eti..!

Poor African leadership!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…