Uchaguzi 2020 Mitandao ya kijamii Tanzania yawa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter, JamiiForums na Telegram zimeguswa - Oktoba 27, 2020

Uchaguzi 2020 Mitandao ya kijamii Tanzania yawa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter, JamiiForums na Telegram zimeguswa - Oktoba 27, 2020

Mtandao gani unaotaka wakat unapayukia hapa hapa.. Subiri tupo na maandalizi ya kumuapisha Magu na pia kutangaza msiba wa Mama wa kiongozi wetu
kwa nini wasitangaze sasa huo Msiba wa mama wa kiongozi wenu. Tofauti yake ni nini?
 
Ww jamaa kweli nije karikoo now

yaan nmemind kwakweli nakuja kkoo kuisntall VPN tu afu narudi Moro kumchinja uyu jamaa nliacha kupiga kura lkn kanipandisha hasira sana
Usisikilize propaganda mitandao ipo kama kawaida ndiyo maana upo live JF.
 
Mbona mnapayuka sana waacheni usalama wa taifa wafanye kazi yao

Nyinyi kazi yenu kuhakiki majina yenu na kupiga kura tarehe 28 hiyo ndio haki yenu ya msingi na hakuna aliyewazuia
 
Najiuliza sipati jibu.
Ni jambo jipya ambalo halijapata kuwepo nchini tangu mitandao hii ianze.
Ndivyo tunavyotakiwa kulinda amani yetu, umoja wetu na Taifa letu?
Hofu yetu kubwa ni nini hasa juu ya mitandao hii?
Watu kama Mwigulu Nchemba, Kigwngala ndio wana akili kama ya magufuli hii hii hawafai kupewa uongozi ni watu wana roho mbaya sana ya mauwaji, wakome na walegee kwa jina la yesu
 
Naamini CCM watashinda

sielewi hili suala la kuzimia watu mawasiliano
Mhh🙆🏽‍♀️
 
Hivi unaelewa maana ya dictetor?
Huyu wala sio dikteta. Hana hizo sifa za dikteta.

Huyu ni dikteta uchwara, japo bado sidhani kama neno "dikteta" ni sahihi kwake. Au labda tumuite "uchwara" tu!

Haka ni kamtu kaoga tu kasichojiamini ambacho kichwani kwake kanafikiri kana uwezo wa kuimiliki Tanzania kama kampuni fulani binafsi.

Kanababaika na watsapu wakati hata Kiswahili hakawezi kuzungumza.

I wonder, honestly i must really wonder, hata akiwa anapokea intelligence briefs, hao watu wake huwa wanamuonaje! Haha.

He is not the president worth the name.

Wakenya wanaita "chokoraa". Ni vile tu hiyo suti anayovaa inamsaidia kuonekana binadamu wa kawaida.

Kwa kizungu wanaita "a bull in a china shop".
 
Back
Top Bottom