Nipe mbinu ya kuifikia tafadhali.Mbona mi nipo kariakoo na inafanya kazi tena kwa speed ya 9G.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe mbinu ya kuifikia tafadhali.Mbona mi nipo kariakoo na inafanya kazi tena kwa speed ya 9G.
Mbona vyote vinafanya Nazi vizuri. Think Big
Halafu litokee bimbi na slogan ya mitano tena. Pumbavu.Mbona tutakuwa bored sana Tweeter, You Tube?
Mtandao gani unaotaka wakat unapayukia hapa hapa.. Subiri tupo na maandalizi ya kumuapisha Magu na pia kutangaza msiba wa Mama wa kiongozi wetu
Unadhan huyo mkurugenzi kapata maagizo toka kwa nani?.. Think bigKesho lazima mkurugenzi TCRA apigwe chini. Magufuli huwa hapendi upuuzi
Mbaka sasa hakuna uchochezi humuHuu ujinga wako ungeuandikia wapi, kama na JF kama na Jf ingefanikiwa kuzimwa?. Nyie ccm hamnaga akili, mnawaza teuzi.
Utakuwa umejiunga JF jana.Mbaka sasa hakuna uchochezi humu
Tunapiga story za kizee tunaelewana
Kama unayo picha au clip yeyote ya uchochezi tupia humu alafu uone hao TCRA kama watatuacha salama
Nchi kwanza mihemko baada ya zoezi kupita
Leo wapenda kick, uchochezi, umbea, udaku Ban kama lote
Tunaongea lugha 1 tu ya kizee
Amtume halafu amtumbue? au ndo Kama kawaida ya wanasiasa kutengeneza tatizo Kisha wakalitatua!?Kesho lazima mkurugenzi TCRA apigwe chini. Magufuli huwa hapendi upuuzi
Duh Mkuu OKW BOBAN SUNZU, kimekuwa chama changu. Sio kila kitu ni chama au top, issues nyingine ni mambo ya security. Obama alippkuja, walituzimia mitandao yote hadi simu kwenye every 1 km radius ya alipo. Sisi wa mitaa ile tulikoma!.Chama cha Pascal Mayalla. ungewashauri wazime upande wa wapinzani tu
Sawa ungekuwa umejiunga miaka 100 iliyopita wala usinge angaika kuandika utumbo taarifa zote za members zimo humu nenda kapekue utanikutaUtakuwa umejiunga JF jana.
Jamii. Forum ni ya Great Thinkers sio kama wewe ambae unalalamika tu. Tafuta ufumbuzi wa tatizo sio kulalamika. Think Big. Mimi nipo hewani social media zote zinafanya kama kawaida.Acha wehu wewe whatsap/twiter/telegram zimezimwa Tanzania nzima na imetangazwa sasa unaropoka nini hapa ?
Najiuliza sipati jibu.
Ni jambo jipya ambalo halijapata kuwepo nchini tangu mitandao hii ianze.
Ndivyo tunavyotakiwa kulinda amani yetu, umoja wetu na Taifa letu?
Hofu yetu kubwa ni nini hasa juu ya mitandao hii?
mitano tena mkuu mimi na jpm dam damHadi wewe?
mkuu we have learned the hard wayTeh teh teh tulieni malaika mzima mitandao awanyoshe, maana nyie CCM hamsikii mpaka damu ziwatoke masikioni.
Haya washaurini wazime upande wa ACT&CDM ili nyie ambao mnaadika ya maana muendelee kuandika.Sawa ungekuwa umejiunga miaka 100 iliyopita wala usinge angaika kuandika utumbo taarifa zote za members zimo humu nenda kapekue utanikuta