M2mwembamba
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 2,491
- 1,095
Tangu asubuhi hakuna lolote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa tatizo la kiufundi tu na haliusiani na uchaguzi.Najaribu kuingia YouTube lakini inagoma, kama nusu saa iliyopita nilikuwa naipata.
Kuna yeyote anapata tatizo kama langu?
Natumia mtandao wa Tigo
Nawewe unatumia VPN yanini wakati unapigia kampeni mgombea wako anayetusumbua kwa tamaa zake za kubakia madarakani tu.Mi napata Twitter vizuri tu ila naonekana nipo Germany.
Ameen!una nafasi kesho ya kupiga kura kukataa aina hii ya upuuzi.
Bavicha hizo ndio contents zao,Ila CHAPUTA mmepewa favor..
Porn sites zinapiga kazi kwa kasi ya ajabu, kitu clear kama kioo...[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
They Prove it Failure kabsa.Najiuliza sipati jibu.
Ni jambo jipya ambalo halijapata kuwepo nchini tangu mitandao hii ianze.
Ndivyo tunavyotakiwa kulinda amani yetu, umoja wetu na Taifa letu?
Hofu yetu kubwa ni nini hasa juu ya mitandao hii?
Kama inasababisha madhara na uchochezi ifungwe yote mpaka twitter,insta mpaka Darhotwire.
Endelea kuota. Ni haki yako.Nawewe unatumia VPN yanini wakati unapigia kampeni mgombea wako anayetusumbua kwa tamaa zake za kubakia madarakani tu.
Hamuwezi kuzuia mafuriko kwa beseni.
Bila kuiba hatoboi, yaani afanye afanyalo ikibidi kuua aue vinginevyo madarakani anaondoka[emoji23][emoji23]
Utawashitaki kwenye mahakama gani ndugu yangu? Wenye mahakama ndio wamefanya haya ya leoHivi naweza kuishitaki kampuni ya simu ambayo ndio wanaonihudumia kupata mawasiliano kwa kosa la kupunguza spidi ya mtandao? Nasema hivi kwasababu nilinunua bando la wiki ambalo linaishia tarehe 28 October na Hadi Sasa Nina salio la Gb2 zitakazoisha bila Mimi kuzitumia kwa kuwa wamezima data!
Nitaweza kuzirejeshaje bando zangu au niende kuzidai mahakamani?
Mwenye uelewa na Sheria za mitandao na haki za wateja anisaidie!
Ni bora hasra ya siku 2 kuliko kuwe na machafuko yanayosababishwa na wajinga wachache yatakayosababisha hasara ya maishaShida yenu mnaangalia upande wa kisiasa tu, hv unajua hasara kiasi gani kibiashara wafanyabiashara wanaingia kwa kufunga hii mitandao even for an hour? Halaf kwa nn uchaguzi uifanye nchi isimame? Uchaguzi unapaswa kufanyika as well as mishe zingine pia kuendelea kama kawaida. Hivyo ndivyo namna serikali makini huendesha mambo yake!
Unataka kutuzuia hata kuota? Ama kweli ushabiki maandazi huangamiza Hadi uwezo wa kufikiri!Endelea kuota. Ni haki yako.