Uchaguzi 2020 Mitandao ya kijamii Tanzania yawa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter, JamiiForums na Telegram zimeguswa - Oktoba 27, 2020

Najaribu kuingia YouTube lakini inagoma, kama nusu saa iliyopita nilikuwa naipata.

Kuna yeyote anapata tatizo kama langu?

Natumia mtandao wa Tigo
Itakuwa tatizo la kiufundi tu na haliusiani na uchaguzi.
Achaneni na porojo za wapinzani kila kitu kuona kama CCM inahujumu, hapana, haya yanatokea hata kwa Mabeberu, kuanzia tarehe 30 mwezi huu tatizo litatatulika
 
Mi napata Twitter vizuri tu ila naonekana nipo Germany.
Nawewe unatumia VPN yanini wakati unapigia kampeni mgombea wako anayetusumbua kwa tamaa zake za kubakia madarakani tu.

Hamuwezi kuzuia mafuriko kwa beseni.
Bila kuiba hatoboi, yaani afanye afanyalo ikibidi kuua aue vinginevyo madarakani anaondoka[emoji23][emoji23]
 
Binafsi sioni sababu y kuwanyima watu haki ya kupasha habari huu ni uwoga was kiwango cha mwisho
 
Shida yenu mnaangalia upande wa kisiasa tu, hv unajua hasara kiasi gani kibiashara wafanyabiashara wanaingia kwa kufunga hii mitandao even for an hour? Halaf kwa nn uchaguzi uifanye nchi isimame? Uchaguzi unapaswa kufanyika as well as mishe zingine pia kuendelea kama kawaida. Hivyo ndivyo namna serikali makini huendesha mambo yake!
Kama inasababisha madhara na uchochezi ifungwe yote mpaka twitter,insta mpaka Darhotwire.
 
Nawewe unatumia VPN yanini wakati unapigia kampeni mgombea wako anayetusumbua kwa tamaa zake za kubakia madarakani tu.

Hamuwezi kuzuia mafuriko kwa beseni.
Bila kuiba hatoboi, yaani afanye afanyalo ikibidi kuua aue vinginevyo madarakani anaondoka[emoji23][emoji23]
Endelea kuota. Ni haki yako.
 
Hivi naweza kuishitaki kampuni ya simu ambayo ndio wanaonihudumia kupata mawasiliano kwa kosa la kupunguza spidi ya mtandao? Nasema hivi kwasababu nilinunua bando la wiki ambalo linaishia tarehe 28 October na Hadi Sasa Nina salio la Gb2 zitakazoisha bila Mimi kuzitumia kwa kuwa wamezima data!
Nitaweza kuzirejeshaje bando zangu au niende kuzidai mahakamani?
Mwenye uelewa na Sheria za mitandao na haki za wateja anisaidie!
 
Utawashitaki kwenye mahakama gani ndugu yangu? Wenye mahakama ndio wamefanya haya ya leo
We cha msingi tumia VPN maisha yaendelee.
 
Shida yenu mnaangalia upande wa kisiasa tu, hv unajua hasara kiasi gani kibiashara wafanyabiashara wanaingia kwa kufunga hii mitandao even for an hour? Halaf kwa nn uchaguzi uifanye nchi isimame? Uchaguzi unapaswa kufanyika as well as mishe zingine pia kuendelea kama kawaida. Hivyo ndivyo namna serikali makini huendesha mambo yake!
Ni bora hasra ya siku 2 kuliko kuwe na machafuko yanayosababishwa na wajinga wachache yatakayosababisha hasara ya maisha
 
Ndugu zangu watanzania nafikiri mmejionea wenyewe rangi za ccm kwa miaka hii mitano, sasa akili kumkichwa. Fanya maamuzi sahihi kesho hawa sio watu wa kuendelea kuwaamini kuwapa madaraka, asante!
 
Uchaguzi Tanzania umekuwa ni shida kwa Watanzania. Nashauri tujitoe kwenye mfumo wa Democrasia.
 
Back
Top Bottom