Uchaguzi 2020 Mitandao ya kijamii Tanzania yawa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter, JamiiForums na Telegram zimeguswa - Oktoba 27, 2020

Nimetuma WhatsApp message na kujibiwa hiyo message less than one hour ago
I wonder huwa wanawalipa shingapi ili muwe misukule!

Seems like a huge package!

Mpaka unakuwa ndondocha namna hiyo, sidhani kama ni ujira kidogo!
 

Kuwa mkweli ndugu yan watu tunateseka na mtandao haufanyi Kazi kwenye social network ww unaleta abari za uwongo

Usipende kutetea ujinga
 
leo kigogo anapost na kusoma mwenyewe huko twitter [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Reactions: T11
Acha upimbi, weka screenshot hapa.
 

kwa sisi tunaotumia iPhone je ?
 
Kuwa mkweli ndugu yan watu tunateseka na mtandao haufanyi Kazi kwenye social network ww unaleta abari za uwongo

Usipende kutetea ujinga

Sitetei mtu hapa. Nipe jibu la swali nililouliza ili nielewe kinachoendelea!
 
Nchi yetu Tanzania haijawahi kuzima internet kwa sababu zozote zile hasa za kisiasa

Leo hii nchi yetu pendwa ,Watanzania wetu wajinga,wapole kuanzia CCM,CHADEMA na vyama vingine wanaipata joto la jiwe baada ya kupunguziwa speed ya internet na kufanya mitandao yote ya kijamii isifunguke ambayo kwa 100% inatuma habari za Magufuli rais mtawala juu ya udhalimu wake anaoufanya

Watanzania wamepunguziwa Kasi ya internet kama si kuzimiwa kabisa na hii yote ni shinikizo la CCM kwa kumuogopa Tundu Lissu

Magufuli hafai na kesho tarehe 28/10/2020 tumkatae
 
I wonder huwa wanawalipa shingapi ili muwe misukule!

Seems like a huge package!

Mpaka unakuwa ndondocha namna hiyo, sidhani kama ni ujira kidogo!

You completely veered off the road. Ignoring you is probably the most appropriate move!
 
Siwaelewi mbona hapa kariakoo Twitter,insta,Whatsup,Darhotwire,Telegram,Facebook,mpaka JF nazipata kwa speed isiyo ya kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…