bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 9,530
- 20,988
Wewe kenge una hangaika kama kuku anataka kutagaKwa afya ya aman wacha waifunge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe kenge una hangaika kama kuku anataka kutagaKwa afya ya aman wacha waifunge
Mkuu asante nimefanikiwa kaka.![]()
UFO VPN Basic APK for Android Download
UFO VPN Basic 3.5.0 APK download for Android. Super private & unlimited fast VPN for Android. Go online fast and safely.m.apkpure.com
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
I wonder huwa wanawalipa shingapi ili muwe misukule!Nimetuma WhatsApp message na kujibiwa hiyo message less than one hour ago
Matusi, lugha zisizo za staha na vurugu ndiyo primary capital ya wafuasi wa Chama Cha Demokrasia ya Matusi (Chadema)! Uwezo wa kujenga hoja ni zero.
Nimetuma WhatsApp message na kujibiwa hiyo message less than one hour ago. Aliyejibu message yangu na mimi mwenyewe tumewezaje kuwasiliana tukiwa offline?
Acha upimbi, weka screenshot hapa.Matusi, lugha zisizo za staha na vurugu ndiyo primary capital ya wafuasi wa Chama Cha Demokrasia ya Matusi (Chadema)! Uwezo wa kujenga hoja ni zero.
Nimetuma WhatsApp message na kujibiwa hiyo message less than one hour ago. Aliyejibu message yangu na mimi mwenyewe tumewezaje kuwasiliana tukiwa offline?
Njia ni kama ifuatavyo
Kitu cha kwanza jaribu kuingia google kupitia opera au chrome au uc mini au nyingijnezo yaani jaribu kuingia google kupitia hizo njia google ikifunguka tu yaani hakikisha google search inafunguka google ikifunguka kati ya hizo fuata hatua ya 2
Hatua hiyo ni kudownload vpn kwa google unadownload kupitia google kwa sababu playstore au appstore pashafeli download huko kwenye google kisha ukishadownload install
Pia usisahau kuallow installation from unknown sources
Kila la kheri!
Kuwa mkweli ndugu yan watu tunateseka na mtandao haufanyi Kazi kwenye social network ww unaleta abari za uwongo
Usipende kutetea ujinga
Acha upimbi, weka screenshot hapa.
I wonder huwa wanawalipa shingapi ili muwe misukule!
Seems like a huge package!
Mpaka unakuwa ndondocha namna hiyo, sidhani kama ni ujira kidogo!
Njoo uone ulijua wajinga Kama wewe watu tupo vizuri tunawafundisha wengine jinsi ya kurudi hewanileo kigogo anapost na kusoma mwenyewe huko twitter [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Download hii vpnWhatsApp sipati ujumbe[emoji849]
Mkuu naomba na mimmi unielewesheDownload hii vpn
URL unfurl="true"]https://m.apkpure.com/ufo-vpn-basic-free-vpn-proxy-master-secure-wifi/ufovpn.free.unblock.proxy.vpn[/URL][
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Leo mapenzi hakunaWatu ambao hamfuatilii threads za majukwaa ya science and technology, mkipata simu hamfanyi ufukunyuku endeleeni kutoa milio hii ndege ishawaacha.