isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,560
Oke, Maana rest of networks zinasumbua.Zantel Tz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oke, Maana rest of networks zinasumbua.Zantel Tz
Kwanin tena aseeh na ni nchi ipi? Naona umefurah!Buhahaahahaha
Chief
Unafaa kuwa Rais wa Nchi fulani
Tunaotumia VPN inafunguka.Najaribu kuingia YouTube lakini inagoma, kama nusu saa iliyopita nilikuwa naipata.
Kuna yeyote anapata tatizo kama langu?
Natumia mtandao wa Tigo
Brother [emoji23][emoji23][emoji23] acha ubishi. JF wanaingiaje bila bando?Wekeni bando asee, mitandao yote uliyotaja kwangu inapeta vizuri tu..
Mbona tutakuwa bored sana Tweeter, You Tube ......???????Najaribu kuingia YouTube lakini inagoma, kama nusu saa iliyopita nilikuwa naipata.
Kuna yeyote anapata tatizo kama langu?
Natumia mtandao wa Tigo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] list yako imefika ngapi?Do you know I really love you..?
Na Facebook imeanza zingua Kama movie vile!..😂Mbona tutakuwa bored sana Tweeter, You Tube ......???????
Ni huyu tu mmoja mkuu..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] list yako imefika ngapi?
Naona nawe unatafuta attention..😂Freebasic.. ila mzee tayari wamenilamba
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa je. Ni muda wa kuShusha VPNFreebasic.. ila mzee tayari wamenilamba
Nina faili lako linasema tofauti....Ni huyu tu mmoja mkuu..
YaahDo you know I really love you..?
Mkuu tusiharibiane Tena nitacharuka hapa! Hilo file unalijua wewe..! Unataka nikataliwe na my lovely wife!Nina faili lako linasema tofauti....
Okay just be on my side always.. sitaki moyo uje kuniuma.Yaah
Bwana wee naombeni radhi kama wamenisikia vile.. YouTube is down, Twitter is down WhatsApp huwezi kutuma picha au attachment. Samahanini.. Watuachie JF tuView attachment 1613804View attachment 1613805
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kila laheri mwindajiMkuu tusiharibiane Tena nitacharuka hapa! Hilo file unalijua wewe..! Unataka nikataliwe na my lovely wife!