Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulivyo mjinga na mpumba.v uko bado mtandaoni unawayawaya. Kwa nini usitulie tu usubiri uchaguzi upite ndio urudi na JF.Safi kwa usalama wa nchi na watu wake
Mihemko style tulieni kwanza tukishapiga kura tutarudi hewani
Ni wewe tuKuanzia Twitter, YouTube mpaka insta naona kama servers ziko down. Nimechoka mpaka Tiktok eti nayenyewe inazingua, vipi kwenu huko wakuu?
Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
Sasa si wangemuapisha tu, kuliko mateso watu wanayoyapata..jumliwha gharama za uchaguzi..Wewe hata umpigie lissu pamoja na mke wake but tambua JPM ndo rais
Dondosha mkuuKwamuhitajj wa mzigo wa VPN ambao ni modded
Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
Kwa hili ndugu John HAPANA ... hili hapana kabisa
Haya mambo yanafanyika kwa nia njema, tumpe tena miaka mitano Dkt Magufuli ili aendelee kutunyoosha hadi maji tuite mmmaaaaaaaWhatsApp, Facebook na Instagram tayari zimezuiliwa tanzania bara ivi wewe unaona kulikua na ulazima wowote wa kufanya hivi?
Pia naamini nyumbani kwako/kwenu, mkiwa na marafiki zako, ndugu zako, jamaa zako, na kazini kwako kuna utaratibu wa kutoa mawazo na lugha ya kutumia.Wapuuzi fulani tu..
Hawajui tu hasara wanayotupa!!
Alaf kila siku wanadai mitandaoni hamna wapiga kura, Sasa hofu yao ni nini?
Mipango ya ccm kuiba kura ili magufuli ashinde kwa kishindo feki.Usalama wa taarifa zipi?
Huna loloteNilikuwa nimpigie Magufuri kura ila kwa alicho fanya nampigia Lisu
Taarifa mkuuUsalama wa taifa au usalama wa CCM?