Uchaguzi 2020 Mitandao ya kijamii Tanzania yawa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter, JamiiForums na Telegram zimeguswa - Oktoba 27, 2020

Uchaguzi 2020 Mitandao ya kijamii Tanzania yawa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter, JamiiForums na Telegram zimeguswa - Oktoba 27, 2020

Duh Mkuu OKW BOBAN SUNZU, kimekuwa chama changu. Sio kila kitu ni chama au top, issues nyingine ni mambo ya security. Obama alippkuja, walituzimia mitandao yote hadi simu kwenye every 1 km radius ya alipo. Sisi wa mitaa ile tulikoma!.
Tuvumilie tu!
P
Yah right. Anayelindwa safari hii ni nani.... Mkoloni CCM!!?
 
Amefariki lini mama yetu mpendwa?
Kifo pia hakijui kutenda haki.
Badala yake Magufuli ndie angekufa,maana mama yake alishamuoza juzi wakati anapewa kuku.
Sasa yule baba alieozwa mwanamke na mtoto wake amebaki mgane?
 
Chadema hawatalala leo
ina maana CHADEMA ndiyo chaputa..[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najiuliza sipati jibu.

Ni jambo jipya ambalo halijapata kuwepo nchini tangu mitandao hii ianze.

Ndivyo tunavyotakiwa kulinda amani yetu, umoja wetu na Taifa letu?

Hofu yetu kubwa ni nini hasa juu ya mitandao hii?
Wafunge tu maana ufipa wanaona kila kitu ni cha kupeleka kwa mabwana zao..hapa wazime vitasa viendelee
 
Back
Top Bottom