mo effect
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 567
- 637
Acha uongo weweMwaka 2015 ilizimwa pia mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uongo weweMwaka 2015 ilizimwa pia mkuu
Tena fasta tuPorn sites utakuta zinapiga kazi.
Peleka ujinga huko. Twitter, facebook, Instagram na WhatsApp ziko offline, unafikiri sisi ni vichaa kuandika humu?Mitandao iliyozimwa ni ipi? Certainly, JF haijazimwa na ndiyo maana umeweza kurusha hii fantasy yako. Bado ninaweza kutumia WhatsApp na platforms zingine kama kawa!
Na mimi naomba nitumie za iOS. Nimekucheck WhatsApp naona kimya
Daaaah upo sahihi kabisa mkuu hii sio fair kabisaaMaanake ipo siku tutachaguliwa hata chakula tunachotakiwa kula. Kama ambavyo sahizi tunachaguliwa habari za kuzisikia.
Upo sahih kabisaIlizimwa au kulikuwa na shida ya network!?
2015 mitandao haikuzimwa, watu tulikuwa active what's app, twitter, fb, na telegram. Hakukuwa hili kwa hakika, kumbukumbu zangu ziko vizuri tu
Wamewafungia mabwege tu hapa tunawaunganisha tena watu waliodharau ku download VPNKwa afya ya aman wacha waifunge
Naskia kutumia vpn nayo ni kosa kisheriaNimejifunza kwamba nchi hii, pamoja na kejeli nyingiii kwamba watu wa mitandaoni ni wa kufikirika, si wapiga kura, sijui wanaishi maisha feki, lakini kwa kweli mitandao inaogopwa jamani, yaani imetungiwa masheria kibao lakini bado imebidi malaika ashushwe kuifunga...
Nicheki na mimi wassap mkuu.Na mimi naomba nitumie za iOS. Nimekucheck WhatsApp naona kimya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nicheki na mimi wassap mkuu.
Najiuliza sipati jibu.
Ni jambo jipya ambalo halijapata kuwepo nchini tangu mitandao hii ianze.
Ndivyo tunavyotakiwa kulinda amani yetu, umoja wetu na Taifa letu?
Hofu yetu kubwa ni nini hasa juu ya mitandao hii?
But this year ni too much, mitandao yote haiko hewani. Miaka mitano iliyobaki tutakoma itakuwa kilio na kusaga menoHaya, sio Mara ya kwanza 2015 JF ilishambuliwa sana na wakafanikiwa kwa muda kuiondosha hewani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawana nyongeza za mishahara msiwategemee Sana wasijewageukaMaana Ake Mwende Barabara mdundwe na kupewa kipigo kitakatifu bila hao mabeberu Manowategemea kufungua Mabakuli yao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haha.Nimejifunza kwamba nchi hii, pamoja na kejeli nyingiii kwamba watu wa mitandaoni ni wa kufikirika, si wapiga kura, sijui wanaishi maisha feki, lakini kwa kweli mitandao inaogopwa jamani, yaani imetungiwa masheria kibao lakini bado imebidi malaika ashushwe kuifunga...
Peleka ujinga huko. Twitter, facebook, Instagram na WhatsApp ziko offline, unafikiri sisi ni vichaa kuandika humu?
Sawa mkuuNa mimi pia naomba nicheki.