Uchaguzi 2020 Mitandao ya kijamii Tanzania yawa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter, JamiiForums na Telegram zimeguswa - Oktoba 27, 2020

Uchaguzi 2020 Mitandao ya kijamii Tanzania yawa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter, JamiiForums na Telegram zimeguswa - Oktoba 27, 2020

Hiki kitendo kimepunguza kura kwa Chama UTAWALA japo wao watabishia. Nimeongeza chuki kwa wapiga kura wa mitandaoni. Kesho watakuwa na lao
 
Ilizimwa au kulikuwa na shida ya network!?
2015 mitandao haikuzimwa, watu tulikuwa active what's app, twitter, fb, na telegram. Hakukuwa hili kwa hakika, kumbukumbu zangu ziko vizuri tu
Upo sahih kabisa
 
Nimejifunza kwamba nchi hii, pamoja na kejeli nyingiii kwamba watu wa mitandaoni ni wa kufikirika, si wapiga kura, sijui wanaishi maisha feki, lakini kwa kweli mitandao inaogopwa jamani, yaani imetungiwa masheria kibao lakini bado imebidi malaika ashushwe kuifunga...
Naskia kutumia vpn nayo ni kosa kisheria
 
Ni ukichaa kwa kichaa mpya alotoka milembe
Najiuliza sipati jibu.

Ni jambo jipya ambalo halijapata kuwepo nchini tangu mitandao hii ianze.

Ndivyo tunavyotakiwa kulinda amani yetu, umoja wetu na Taifa letu?

Hofu yetu kubwa ni nini hasa juu ya mitandao hii?
 
Haya, sio Mara ya kwanza 2015 JF ilishambuliwa sana na wakafanikiwa kwa muda kuiondosha hewani.
But this year ni too much, mitandao yote haiko hewani. Miaka mitano iliyobaki tutakoma itakuwa kilio na kusaga meno
 
Kawaida yote ni mipango ya Mungu kutuletea mtu jasiri Kama Tundu Lissu
 
Nimejifunza kwamba nchi hii, pamoja na kejeli nyingiii kwamba watu wa mitandaoni ni wa kufikirika, si wapiga kura, sijui wanaishi maisha feki, lakini kwa kweli mitandao inaogopwa jamani, yaani imetungiwa masheria kibao lakini bado imebidi malaika ashushwe kuifunga...
Haha.

Wanajifariji tu. Mitandao ni muhimili wa nne wa nchi na wanatambua hilo.

Ndio maana hawaishi kuhangaika. Wakaona waizime wasikilizie upepo unaelekea wapi.

Mahuni haya ni maoga mno. Wanaelewa mitandao ina nguvu kubwa.
 
Peleka ujinga huko. Twitter, facebook, Instagram na WhatsApp ziko offline, unafikiri sisi ni vichaa kuandika humu?

Matusi, lugha zisizo za staha na vurugu ndiyo primary capital ya wafuasi wa Chama Cha Demokrasia ya Matusi (Chadema)! Uwezo wa kujenga hoja ni zero.

Nimetuma WhatsApp message na kujibiwa hiyo message less than one hour ago. Aliyejibu message yangu na mimi mwenyewe tumewezaje kuwasiliana tukiwa offline?
 
Back
Top Bottom