Uchaguzi 2020 Mitandao ya kijamii Tanzania yawa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter, JamiiForums na Telegram zimeguswa - Oktoba 27, 2020

Kumbe mpaka uwe na VPN asanteni ata mi nlikua na hilo tatzo na sikujua shida Nini
 
Tangu Jumapi nafungua Twitter inazungusha tuu haifunguki. Kuna mwenye Shida kama yangu? Naombeni Msaada. Nina Bando la kutosha Ila ndio sipati huu Mtandao.
Hata yakwangu haifunguki kabisa
 
Tangu Jumapi nafungua Twitter inazungusha tuu haifunguki. Kuna mwenye Shida kama yangu? Naombeni Msaada. Nina Bando la kutosha Ila ndio sipati huu Mtandao.
Hata cm yangu inatatixo Hilo mwezi sasa
 
Hata cm yangu inatatixo Hilo mwezi sasa
twitter bado imefungwa na malaika,kama unatumia kwenye pc au mac download TOR browser simu iunge kama modem au kwa simu download vpn
Lakini wanasema ni kosa kisheria
mi naona kule twitter hadi jeshi la polisi,viongozi wa serikali ,teams za mpira taasisi za serikali zina post ,wanatumia nini sasa kama siyo vpn?
 
Wanaotumia twitter kwa sasa wote wanatumia VPN,
Download hiyo kitu,utaenjoy
Hata mkulu jiwe? Maana taarifa zake ame twitt sasa kama ametwitt nani atasoma kama ndiyo imefingiwa?
 
twitter bado imefungwa na malaika,kama unatumia kwenye pc au mac download TOR browser simu iunge kama modem au kwa simu download vpn

mi naona kule twitter hadi jeshi la polisi,viongozi wa serikali ,teams za mpira taasisi za serikali zina post ,wanatumia nini sasa kama siyo vpn?
Two wrongs doesn't make one right.
 
Twitter mpaka leo iko kifungoni au ndio rasmi haitakiwi hapa bongo
 
Hata mkulu jiwe? Maana taarifa zake ame twitt sasa kama ametwitt nani atasoma kama ndiyo imefingiwa?
Sasa wew na mimi mkulu?,
Mkulu mmoja tu,mkulu ana approval ya kudisable nchi nzima akajiachia Mwenyewe...
 
Tangu Jumapi nafungua Twitter inazungusha tuu haifunguki. Kuna mwenye Shida kama yangu? Naombeni Msaada. Nina Bando la kutosha Ila ndio sipati huu Mtandao.
Tumia "opera mini with free VPN" set VPN on kwenye setting fungua Twitter ikigoma Kuna sehem ya kuchange location change kwenda nchi nyingine yoyote
 
Inauzwa shillingi 50,000/= tu, lakini mimi ninayo nitakuuzia 35,000/= tuma pesa chap kwenye namba hii 07666123678.
Ukimfanyia ivo ndugu yangu nakupiga mpaka nikupeleke kuzimu
 
Tangu Jumapi nafungua Twitter inazungusha tuu haifunguki. Kuna mwenye Shida kama yangu? Naombeni Msaada. Nina Bando la kutosha Ila ndio sipati huu Mtandao.
#TumiaVPN
 
Attachments

  • Screenshot_20201208-192438.jpg
    Screenshot_20201208-192438.jpg
    100.9 KB · Views: 1
  • 20201208_192601.jpg
    20201208_192601.jpg
    31.4 KB · Views: 1
Back
Top Bottom