Wapuuzi sana tigo.Unapiga namba unaambiwa inatumika
Unarudia namba hiyo hiyo kupiga unaambiwa haipatikani
Unapiga tena mara ya tatu simu inapatikana lakini haipokelewi
Unapiga kwa mara ya mwisho unampata mtu anasema simu yake ipo hewani na hakuwa akiongea na yeyote wala wewe hukumpigia
Madhara ya hiyo kitu sasa...
Madili yanayeyuka, watu wanachonganishwa, nk tena afadhali sisi makapuku ving'amg'anizi lakini wale wasiopenda usumbufu akipiga mara moja tu basi harudii tena
Mbaya sana hii mkuu.Hii sio tigo tu hata Voda. Watu inabidi waelewe haya maujinga. Unakuta mtu anakukasirikia hupokei simu kumbe haikufika
Haya matatizo yapo karibu mitandao yoteMara nyingi watu wanaotumia mitandao ya tigo na halotel huwa nawaona kama bado ni watoto hawajakua bado,hawana pesa na wasiojitambua.
Hii ni kweli kabisa tena ilinisababisha hadi nikagombana na mwenza wangu kisa kila nikipiga simu naambiwa inatumika kwa sasa wakati yeye anasema alikuwa hewani na hakuwa anaongea na mtu. TIGO mtavunja ndoa za watu jamani rekebisheni hili.Unapiga namba unaambiwa inatumika
Unarudia namba hiyo hiyo kupiga unaambiwa haipatikani
Unapiga tena mara ya tatu simu inapatikana lakini haipokelewi
Unapiga kwa mara ya mwisho unampata mtu anasema simu yake ipo hewani na hakuwa akiongea na yeyote wala wewe hukumpigia
Madhara ya hiyo kitu sasa...
Madili yanayeyuka, watu wanachonganishwa, nk tena afadhali sisi makapuku ving'amg'anizi lakini wale wasiopenda usumbufu akipiga mara moja tu basi harudii tena
Upi mtando wa wenye pesa unaofanya vizuri?Mara nyingi watu wanaotumia mitandao ya tigo na halotel huwa nawaona kama bado ni watoto hawajakua bado,hawana pesa na wasiojitambua.
Hapa kwangu ni mitando miwili ambayo hiyo ndio inatutesa. Tigo na voda.TiGo ipi iyo unayoiongelea? Hakuna mtandao makini kama TiGo na Vodacom nchi hii.!!
Izo ujinga zipo uko Eatel na Aloteli