Trainee
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 2,660
- 3,501
Unapiga namba unaambiwa inatumika
Unarudia namba hiyo hiyo kupiga unaambiwa haipatikani
Unapiga tena mara ya tatu simu inapatikana lakini haipokelewi
Unapiga kwa mara ya mwisho unampata mtu anasema simu yake ipo hewani na hakuwa akiongea na yeyote wala wewe hukumpigia
Madhara ya hiyo kitu sasa...
Madili yanayeyuka, watu wanachonganishwa, nk tena afadhali sisi makapuku ving'amg'anizi lakini wale wasiopenda usumbufu akipiga mara moja tu basi harudii tena