Mitandao ya simu especially tigo hiki mnachofanya mnavuruga watu

Mitandao ya simu especially tigo hiki mnachofanya mnavuruga watu

Trainee

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
2,660
Reaction score
3,501
Unapiga namba unaambiwa inatumika
Unarudia namba hiyo hiyo kupiga unaambiwa haipatikani
Unapiga tena mara ya tatu simu inapatikana lakini haipokelewi
Unapiga kwa mara ya mwisho unampata mtu anasema simu yake ipo hewani na hakuwa akiongea na yeyote wala wewe hukumpigia

Madhara ya hiyo kitu sasa...
Madili yanayeyuka, watu wanachonganishwa, nk tena afadhali sisi makapuku ving'amg'anizi lakini wale wasiopenda usumbufu akipiga mara moja tu basi harudii tena
 
Wapuuzi sana tigo.
Mimi nilitaka nikosane na jamaa kwa upuuzi wao hao.
Na pia walitaka kunifarakanisha na mama yangu kwa ujinga huo.
 
Mtandao wenyewe Tgo... Lazima uubembeleze ili upewe huduma ikiwemo "cha asubuhi" kulingana na "saizi yako"
 
Wanasababisha matatizo makubwa sana…
Mfano:- kuna mtu amepigiwa na Boss wake 3x simu inatumika then baada ya kupigiwa tena haipo hewani…
Hapo alitakiwa alikua ameambiwa akae hewani kuna maelekezo muhimu .. ya yeye kuyatekeleza …

Kilichofuata hapo kwasababu ilikua jumamosi .. boss akajua jamaa kazingua kazima simu ..
mpaka sasa hajui j3 atamwaminisha vp boss kuwa alikua hewani… wakati anapigiwa..inatumika mara hapatikani..
 
Tigo wamezidi aisee hasa kipindi hiki yaan internet inasoma 4G ila sasa yaani. Unampigia mtu unaambiwa yupo busy huu ni uchonganishi
 
TiGo ipi iyo unayoiongelea? Hakuna mtandao makini kama TiGo na Vodacom nchi hii.!!

Izo ujinga zipo uko Eatel na Aloteli
 
Huyu Elon musk wanasema ana mitandao kitonga na yenye ufanisi ina maana hajui Tanzania? Mitandao inatutesa Sana ni Basi Tu! Hivi tcra wao majukum Yao yanakuwaga ni nini
 
Unapiga namba unaambiwa inatumika
Unarudia namba hiyo hiyo kupiga unaambiwa haipatikani
Unapiga tena mara ya tatu simu inapatikana lakini haipokelewi
Unapiga kwa mara ya mwisho unampata mtu anasema simu yake ipo hewani na hakuwa akiongea na yeyote wala wewe hukumpigia

Madhara ya hiyo kitu sasa...
Madili yanayeyuka, watu wanachonganishwa, nk tena afadhali sisi makapuku ving'amg'anizi lakini wale wasiopenda usumbufu akipiga mara moja tu basi harudii tena
Hii ni kweli kabisa tena ilinisababisha hadi nikagombana na mwenza wangu kisa kila nikipiga simu naambiwa inatumika kwa sasa wakati yeye anasema alikuwa hewani na hakuwa anaongea na mtu. TIGO mtavunja ndoa za watu jamani rekebisheni hili.
 
Mara nyingi watu wanaotumia mitandao ya tigo na halotel huwa nawaona kama bado ni watoto hawajakua bado,hawana pesa na wasiojitambua.
Upi mtando wa wenye pesa unaofanya vizuri?
Au ndio utoto unaongea.
 
Mkuu huyo kweli unayempigia si kwamba anakuwa ameku block?
 
Back
Top Bottom