Mitandao ya simu imesitisha mabadiliko ya bei za Vifurushi

Mitandao ya simu imesitisha mabadiliko ya bei za Vifurushi

Samcezar

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
13,095
Reaction score
22,731
Unajua hii haijakaa sawa kabisa na sio nzuri kibiashara. Haya ndio madhara ya kuchanganya siasa chafu za chama kisichojitambua uelekeo wake kiutendaji na shughuli serious za kiuchumi.

Vifurushi.jpg
 
Sasa kama yule mbwiga Mwigulu ndio mshauri wake mkuu wa maswala ya uchumi , unategemea nini Gavana naye ndiokabisaaaaa analewa mpaka anakunya kwenye nguo mnategemea nini kwenye nchi ya namna hii, labda Yesu arudi tena ndio kutakuwa na mabadiliko yoyote, Mama amefeli mapemaaaaa
 
Hivi yule jamaa bado yupo huko wizarani si nilisikia amekuwa replaced?!
 
Unajua hii haijakaa sawa kabisa na sio nzuri kibiashara. Haya ndio madhara ya kuchanganya siasa chafu za chama kisichojitambua uelekeo wake kiutendaji na shughuli serious za kiuchumi. View attachment 1893695
Tunaishi kama misukule kwasasa.... Tangu mzee baba apate pumziko la milele.... Tumekuwa kama mbuzi tunaosubiri kuchinjwa siku ya tambiko.... It's horrible.

Huku mfuko wa mbolea wa DAP uliokuwa ukinunuliwa 55,000/= sasa hivi ni 105,000/=..... Halaf bei ya mahindi kwa debe 3,000/= hadi 5,000/= hali ni mbaya sana.

Tunakoelekea tunaenda kuwa watumwa wakubwa ndani ya nchi yetu.

Viazi haviuziki bei ni ya kukandamiza sana
 
Psychology inasema kwamba wanawake wana roho mbaya/ngumu kuliko wanaume.
Bora ukutane na Sadist wanaume watano kuliko sadist mwanamke mmoja.
Hiyo inasababishwa kwakua mwanamke yupo kama Transistor.
Kitu akiamua kukifanya mwanamke kwa akili zake zote anakifanya kwa asilimia 500000%
Don't understimate the mind of Woman

Transistor is a device used to amplify or switch electronic signals and electrical power

Yaani kitu anachofanya mwanaume, mwanamke anaweza kukifanya mara kumi zaidi yake
 
Back
Top Bottom