LAPUA MAGNUM 338
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 431
- 1,223
Bibi senge sana hiliNahisi mama kuna nati haziko sawa kichwani, anayumba sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bibi senge sana hiliNahisi mama kuna nati haziko sawa kichwani, anayumba sana.
Ni saa sita tu hapa computer zitaongea na sim card zetuWalalamikaji wapo wengi.
Vodacom kubadili vifurushi kuanzia jumatatu 16/08/2021
Nimepokea sms ya Vodacom asubuhi ikinijulisha kuwa kuanzia 16/08/2021kutakuwa na mabadiliko ya vifurushi. Mpaka sasa sijajua ni Vodacom pekee au na mitandao mingine nao watapandisha. Sms hiyo haijaweka wazi kama vifurushi vitapanda au vitapungua lakini kwa fikra zangu naona vifurushi vitapanda...www.jamiiforums.com
Maybe wanatupunguzia Bei tupumue kidogo.
Mifumo iliyopo ni ya kipumbavu kabisa mimi sioni kama itafungua njia in the near future......Tatizo kubwa la sisi waTZ na hasa viongozi wanaowakilisha wananchi hawajui nini ya kufanya kwenye nafasi zao. Kuanzia kiranja mkuu.
Siasa zimezidi mawazo ya kunena maendeleo ya waliowapa nafasi kama vile shule bora, maji safi tiririka, Hospitali zenye dhifa, barabara na miundo mbinu safi.
Kila mmoja kwa nafasi yake na mahali anapowakilisha tungeshakuwa na walau asilimia 75 ya ubora!.
Hapa majuzi zimetolewa Tsh mil Mia 5 kila mbunge na jimbo lake.
Kesho wanarudi bungeni wananchi tuwadai fesha hizo zimefanya nini na spika utuletee maelezo kila mbunge ataje alichofanyia akishirikiana na tarura. Inashangaa sana barabara zilivyo. Mashule ya msingi yanasikitisha!
Siasa siasa kila kukicha!!!.
Issue ya chanjo wadau wameupiga mpunga mwingi sana nyuma ya pazia. Unajua ile hasira kwa magu kukataa kutangaza upwepo wa coronavirus na kuwaprove wrong ilikuwa inawaharibia ulaji.Hahah, Msoga si nilimuona na Billgates yule mpiga debe wa chanjo mkuu duniani, au siyo yeye yule?
Soon watu watafanya mambo. Sababu i see the worst days kwa vijana wa sasa watapofika retirement age 15 to 30 years from now.....hata msukule ukimfungia muda mrefu ndani afu siku ujichanganye uingie bandani haaa lazma upate mimba tena ya mapacha,iko siku ambayo haina tarehe watanzania wataamka tu yan,it's a matter of time tu
Ufala ni mwingi sana. Unajua huu upumbavu wanafanya in the few years to come watu wanatakosa pa kushika.Wa tz wengi wameanza kususia bidhaa baada ya mfumuko wa bei hata pombe wamepunguza kunywa, huku coca na peps take away ikiwa imepanda bei baadhi ya maeneo pia imesusiwa
Matumiza ya Mpesa kutuma pesa na kutoa yameanguka sana watu wameacha kufanya miamala
Kwahiyo tumesitisha hl la muda wa maongez maana wa tz hawachelewi kurud enz za kutuma barua
Tunarudi nyuma kama kipindi kile unaweka elfu tano unaongea kwa sekunde shilling tano. Sms unalipia 50 kwa moja.Nani akupunguzie? Kama wameongeza kwenye makato ya miamala ya simu sasa itakuwa kwenye vifurushi?
Zamani ukinunua bando hata la 500 unapewa dk, sms na mb lkn sasa ukinunulia bando lolote lazima uwe na bando la sms
Tujiandae huko mbeleni lazima ununue Bando la dk peke yake SMS na Data
Dikteta kakomba hazina yote ya Nchi,mama Hana jinsiNahisi mama kuna nati haziko sawa kichwani, anayumba sana.
Hivi nikuulize. Ni nani alipandisha hizo bei na gharama ambazo raia wanalalamika?!Watu humu ndani ni wapumbavu wengi Sana, Serikali inapitia upya tozo na vifurushi Ili kupunguza gharama tofauti na ambavyo walipitisha awali ila majitu Kazi kupayuka,kutukana.
Kwanza ningekuwa mimi ndio Rais nisingesitisha kitu maana Magu wakali haya malalamishi yanapayuka mtaani kugumu jibu lilikuwa piga Kazi upate pesa,na Kazi utapiga na pesa huioni.
Sasa hapa serikali inasikiliza Hawa kenge hata kodi hawalipi,aisee ningekuwa kwenye maamuzi hakuna kitu ningepunguza jibu langu lingekuwa moja tuu tuulizane pesa au matokeo ya pesa.
Tunarudi nyuma kama kipindi kile unaweka elfu tano unaongea kwa sekunde shilling tano. Sms unalipia 50 kwa moja.
Mimi sio chadema wala ccm kifupi sina chama, ila huyu mama simwelewi kabisa, alianza vizuri ila sasa anaenda kama gari bovuSawa wewe chadema lkn hii imepitiliza
Mtandao ganiNdugu mteja, tumesitisha mabadiliko ya vifurushi yaliyotarajiwa kufanyika tar.16/08/2021 mpaka utakapojulishwa tena. Asante!
ni mwendo wa nchale tuMbona Airtel wameshaweka vifurushi vipya vya bundle, yaani mkeka wao unatisha!