Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heeeeeeee😦Nahisi mama kuna nati haziko sawa kichwani, anayumba sana.
Apelekwe milembe tuNahisi mama kuna nati haziko sawa kichwani, anayumba sana.
Mbona sijaona akianguka?Kinachoendelea ni hiki View attachment 1893732
Walalamikaji wapo wengi.Unajua hii haijakaa sawa kabisa na sio nzuri kibiashara. Haya ndio madhara ya kuchanganya siasa chafu za chama kisichojitambua uelekeo wake kiutendaji na shughuli serious za kiuchumi. View attachment 1893695
Hahah, Msoga si nilimuona na Billgates yule mpiga debe wa chanjo mkuu duniani, au siyo yeye yule?Msoga anatupa tabu wenzie....
Huyo Gavana si ndio anatakiwa akamtetee Sabaya?Sasa kama yule mbwiga Mwigulu ndio mshauri wake mkuu wa maswala ya uchumi , unategemea nini Gavana naye ndiokabisaaaaa analewa mpaka anakunya kwenye nguo mnategemea nini kwenye nchi ya namna hii, labda Yesu arudi tena ndio kutakuwa na mabadiliko yoyote, Mama amefeli mapemaaaaa
Ndo mana tuliambiwa tuishi nao kwa akiliPsychology inasema kwamba wanawake wana roho mbaya/ngumu kuliko wanaume.
Bora ukutane na Sadist wanaume watano kuliko sadist mwanamke mmoja.
Hiyo inasababishwa kwakua mwanamke yupo kama Transistor..
Kitu akiamua kukifanya mwanamke kwa akili zake zote anakifanya kwa asilimia 500000%
Don't understimate the mind of Woman
Hata mimi ni HalotelHalotel hawa, nawasubiri tigo. View attachment 1893703
Urea ni bei gani?!Tunaishi kama misukule kwasasa.... Tangu mzee baba apate pumziko la milele.... Tumekuwa kama mbuzi tunaosubiri kuchinjwa siku ya tambiko.... It's horrible... Huku mfuko wa mbolea wa DAP uliokuwa ukinunuliwa 55,000/= sasa hivi ni 105,000/=..... Halaf bei ya mahindi kwa debe 3,000/= hadi 5,000/= hali ni mbaya sana..... Tunakoelekea tunaenda kuwa watumwa wakubwa ndani ya nchi yetu....
Viazi haviuziki bei ni ya kukandamiza sana
Ila kama huyu sidhani kama ana elements za kuwa sadist. Me nahisi watu wanaomzunguka ni vilaza na pia yeye hana maamuzi sababu it takes more than kuwa mwanasiasa wa chama kuwa raisi. Kuna Extra brain inahitajika katika kuwazua.Psychology inasema kwamba wanawake wana roho mbaya/ngumu kuliko wanaume.
Bora ukutane na Sadist wanaume watano kuliko sadist mwanamke mmoja.
Hiyo inasababishwa kwakua mwanamke yupo kama Transistor..
Kitu akiamua kukifanya mwanamke kwa akili zake zote anakifanya kwa asilimia 500000%
Don't understimate the mind of Woman