Mitandao ya simu imesitisha mabadiliko ya bei za Vifurushi

Mitandao ya simu imesitisha mabadiliko ya bei za Vifurushi

Mshahara kodi, vifurushj kodi, bidhaa kodi, miamala kodi na tozo, hakika atuchomoki.

Wanatengeneza tatizo then ukikaribia uchaguzi wanaleta mbinu za kutatua tatizo.

#shame
 
Dikteta kakomba hazina yote ya Nchi,mama Hana jinsi
Na zawadi ya Mercedes Benz saloon la Mzee Ruksa hela uliitoa wewe? Najua kichwani we ni mtupu ngoja nikutengulie kitendawili! Majizi aliyokuwa ameyazibia mbinu JPM sasa yamepata access kupitia kwa SSH, nawahakikishia watanzania hii Kasi ya huyu mama ikiendelea hivi dawa hospitali zitakwisha itabaki chanjo ya Covid tu kutoka kwa Biden
 
Ila kama huyu sidhani kama ana elements za kuwa sadist. Me nahisi watu wanaomzunguka ni vilaza na pia yeye hana maamuzi sababu it takes more than kuwa mwanasiasa wa chama kuwa raisi. Kuna Extra brain inahitajika katika kuwazua.

Sasa unataka nambia mtu anakosaje maono ya impact ya kupandisha kodi za mafuta, na huduma za mawasiliano in the long run?!
Bora Mama aachane na washauri wake na arudi kwa Mumewe achukuwe ushauri wa Mr Hifadh na mtaona Nchi itakua Safi Kama kipindi Cha Mzee Rukhusa!!
 
Na zawadi ya Mercedes Benz saloon la Mzee Ruksa hela uliitoa wewe? Najua kichwani we ni mtupu ngoja nikutengulie kitendawili! Majizi aliyokuwa ameyazibia mbinu JPM sasa yamepata access kupitia kwa SSH, nawahakikishia watanzania hii Kasi ya huyu mama ikiendelea hivi dawa hospitali zitakisa itabaki chanjo ya Covid tu kutoka kwa Biden
Dikteta alifilisi Nchi, mama amekuta hazina nyeupe, we jinga huna ujualo kaa kimiya
 
Wiki hii karibia makampuni yote ya Simu yalikuwa yalikuwa yakisambaza jumbe fupi za kuwa kuanzia tarehe 16/8 kutakuwa na mabadiliko ya vifurushi.

Haikujulikana yangekuwa mabadiliko ya punguzo ama nyongeza ya bei.

Lakini leo asubuhi wakati nimejiandaa kwa mabadiliko hayo ghafla natumiwa jumbe fupi kuwa mabadiliko hayo yamesitishwa mpaka itakapotangazwa tena.

Tunashindwa kupongeza ama kuhoji maana hatukuambiwa ni mabadiliko ya aina gani.

20210816_064917.jpg
 
Kwa hii serikali inayoongozwa na CCM tena mwanamke?
Nimeangalia season nyingi sana ya mabadiliko ya vifurushi tangu kipindi kile natumia free internet ya Airtel kuanzia saa 6 usiku mpaka saa 6 asubuhi.
Usitegemee unafuu wa vifurushi kwa sasa. Nilikuwa natumia sana Tigo lkn tangia mwaka juzi nimeiweka kwenye droo.
Nadhani kampuni zinamake loss kwa sasa.....
 
Mshahara kodi, vifurushj kodi, bidhaa kodi, miamala kodi na tozo, hakika atuchomoki.

Wanatengeneza tatizo then ukikaribia uchaguzi wanaleta mbinu za kutatua tatizo.

#shame
Kikundi cha magaidi hawa.
 
Back
Top Bottom