Mitandao ya simu imesitisha mabadiliko ya bei za Vifurushi

Mitandao ya simu imesitisha mabadiliko ya bei za Vifurushi

Mabadiliko ya vifurushi yaliyo paswa kufanyika leo tarehe 16/08/2021 yamesitishwa kwa mitandao yote hapa nchini. Hivyo kama kutatokea mabadiliko mengine mteja atajulishwa.

Pia mitandao hiyo inaendelea kuwajulisha wateja wake kwa kusitisha mabadiliko ya vifurushi hivyo.

Mfano
Ndugu mteja, tumesitisha mabadiliko ya vifurushi yaliyotarajiwa kufanyika tar.16/08/2021 mpaka utakapojulishwa tena. Asante!
 
Soon watu watafanya mambo. Sababu i see the worst days kwa vijana wa sasa watapofika retirement age 15 to 30 years from now.....
Hapo ndipo chuki itapomea! Kuna wajinga wachache wanaishi kama malaika in expense of us!
 
Wiki hii karibia makampuni yote ya Simu yalikuwa yalikuwa yakisambaza jumbe fupi za kuwa kuanzia tarehe 16/8 kutakuwa na mabadiliko ya vifurushi.

Haikujulikana yangekuwa mabadiliko ya punguzo ama nyongeza ya bei...
Kilikuwa kipigo cha mbwa koko yani so mama kaona wananchi watamuibukia Ikulu 😂😂😂😂😂😂
 
Tunaishi kama misukule kwasasa.... Tangu mzee baba apate pumziko la milele.... Tumekuwa kama mbuzi tunaosubiri kuchinjwa siku ya tambiko.... It's horrible... Huku mfuko wa mbolea wa DAP uliokuwa ukinunuliwa 55,000/= sasa hivi ni 105,000/=.
Duuuh DAP 105k wapi huko?
 
Serikali inataka kodi.

Hazina hakuna pesa, miradi ipo mikubwa, wafanyabiashara walishakamuliwa hawana cha kutoa labda uwafilisi wote, deni la taifa ni kubwa, bado nchi inataka maji, umeme, barabara...
😂😂😂😂😂😂😂 hapo kwenye kukubaliana na hali ndio pagumu! Mtu ana 0 unataka achangie 10 inawezekanaje?

Yule mwenye 10000 kuchangia 10 its possible
 
Back
Top Bottom