Mitandao ya simu imesitisha mabadiliko ya bei za Vifurushi

Mitandao ya simu imesitisha mabadiliko ya bei za Vifurushi

Dikteta alifilisi Nchi, mama amekuta hazina nyeupe, we jinga huna ujualo kaa kimiya
Alifirisi nchi Kisha akajiua au sio?

Hizi akili umepewa kuandika pumba eeehh?

Kama umeamua kumtetea huyo mama yako hebu mtetee vingine sio kusema pumba usizozielewa.

Kila Rais anaeingia madarakani mnajipea kazi ya kutetea ujinga tu,lini aligombea huyo mama yako kiasi Cha kusema aliemrithi kiti alijiandaa kumaliza hazina ili ajae akute hakuna kitu?

Alipomaliza hiyo hazina Kama asingekufa yeye angeendelea kuendesha vipi nchi?

Tumia akili kwa faida jinga wewe.
 
Na zawadi ya Mercedes Benz saloon la Mzee Ruksa hela uliitoa wewe? Najua kichwani we ni mtupu ngoja nikutengulie kitendawili! Majizi aliyokuwa ameyazibia mbinu JPM sasa yamepata access kupitia kwa SSH, nawahakikishia watanzania hii Kasi ya huyu mama ikiendelea hivi dawa hospitali zitakisa itabaki chanjo ya Covid tu kutoka kwa Biden
Na mishahara ya wafanyakazi atakopa kwa wafanyabiashara muda si mrefu
 
Ila kama huyu sidhani kama ana elements za kuwa sadist. Me nahisi watu wanaomzunguka ni vilaza na pia yeye hana maamuzi sababu it takes more than kuwa mwanasiasa wa chama kuwa raisi. Kuna Extra brain inahitajika katika kuwazua.

Sasa unataka nambia mtu anakosaje maono ya impact ya kupandisha kodi za mafuta, na huduma za mawasiliano in the long run?!
Ujinga wake binafsi msiwasingizie wanaomzunguka wao wanaangalia fursa zao.
Form four failure akili anazitoa wapi?
 
Tunarudi nyuma kama kipindi kile unaweka elfu tano unaongea kwa sekunde shilling tano. Sms unalipia 50 kwa moja.
Juzi tu nimenunua kifurushi internet cha Vodacom cha wiki Tsh 5000 kufika jioni naambiwa kifurushi kimeisha, kujaribu Tigo nao hivyo hivyo... Wizi tu.
 
Voda wao tayari wamefanya mabadiriko kuanzia usiku wa leo .
 
Kwa hiyo pesa kazikwa nayo!!??
punguza ujinga ww
We Ni zezeta dada huwezi kuelewa kitu,we fani yako ni hapo kimboka,

Ukweli msukuma mwenzenu kaifirisi Nchi, Samia anapambana kwa Hali na Mali kuweka mambo sawa,vumilieni sukuma gang
 
Wakulaumia ni Rais na Bunge lake dhaifu bila kuwasahau wansiasa wote bila kuwabagua upinzan, nao ni wale wale hawajui kutetea mambo ya msingi zaid ya kudai tume huru..pumbv
 
Nilikuwa nataka nijiunge bundle la mwezi Leo, yaani tungekutana tena September huko, maphisaoo!

Sema mambo ya 'hii dunia yetu' yanapelekwa kwa kuyumbayumba mno! Mungu atusaidie tu.
Wamenifanya nimenunua vifurushi vya miezi halafu wakabadili gia angani
 
Serikali inataka kodi.

Hazina hakuna pesa, miradi ipo mikubwa, wafanyabiashara walishakamuliwa hawana cha kutoa labda uwafilisi wote, deni la taifa ni kubwa, bado nchi inataka maji, umeme, barabara n.k

Ni Kukubaliana tu na hali kama wafanyabiashara waliofungiwa account zao huko nyuma walivyokubaliana na hali.

Tulipe tozo mpaka serikali itakapopata mbadala. Tunataka matajiri waishi kama mashetani halafu katozo kadogo tu tunatoa makamasi.
Mbona hatuongelei swala la kubana matumizi ya serikalini. I mean magari wanayotumia, mishahara na allowances zao mbona huko hatuangalii maana kodi nyingi inakwenda huko na inapotea......

Lakini why wananchi wateseke kwa vitu ambavyo hawakuhimiza vifanyike....?!

Kodi za namna hii ambazo hazizingatii uhalisia zenye kulenga kuumiza raia huwa hazina muendelezo mzuri mwisho wa siku.
 
Back
Top Bottom