Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli wamezid kutuonea wananchi wkt wao hawajapunguza matumizi yao.Mbona hatuongelei swala la kubana matumizi ya serikalini. I mean magari wanayotumia, mishahara na allowances zao mbona huko hatuangalii maana kodi nyingi inakwenda huko na inapotea......
Lakini why wananchi wateseke kwa vitu ambavyo hawakuhimiza vifanyike....?!
Kodi za namna hii ambazo hazizingatii uhalisia zenye kulenga kuumiza raia huwa hazina muendelezo mzuri mwisho wa siku.
Why tulipie sisi sasa na hela hatukuziona zikituhudumia....?!Wanyonge wa mitandaoni wanafurahia tajiri akifungiwa account akafilisiwa akawa kama shetani ila wao wakipewa kakodi kadogo tu kamasi kama zote.
Nchi inataka kodi hii, na wafanyabiashara walishakamuliwa wana madeni ya kodi mengine hayalipiki, deni la taifa ni kubwa, miradi mikubwa sasa tunatoa wapi pesa? Wanyonge ni kujichanga changa mpaka kuwe na maelewano.
Usitetee ujinga ni msogaMnamsingizia msoga bure, huyu wakudemka ana matatizo sana
[emoji2960][emoji2960][emoji2960]We Gavana anajinyea!? wacha utani bhana.
Hahahahaha watu wanakula 18% kwenye collection plates 😂😂😂 kuna haja yule bibi aache mambo ya uongozi by 2025 afanye resignation!Eti bana kodi hadi kwenye sadaka za waumini.... Umewahi ona wapi hiyo kitu?!
Wewe ndiye unalazimisha ujinga.Usitetee ujinga ni msoga
Imagine umepewa u' CEO wa kampuni kubwa na unategemewa kufanya maamuzi muhimu biashara ilipe halafu unakutana na upuuuuuuzi unaletwa na zinazojiita mamlaka za kiserikali kuharibu mazingira ya kibiashara.Huu mdumange hadi laha ujue
Kazi iendeleeWanasikilizia uraiani
-tozo
-mafuta yote juu
-sabuni juu
-gesi juu
Pongezi kwenu wapangaji wa haya mambo
Mtandao gani na GB ngapi kwa kiasi ganiNilikuwa nataka nijiunge bundle la mwezi Leo, yaani tungekutana tena September huko, maphisaoo!
Sema mambo ya 'hii dunia yetu' yanapelekwa kwa kuyumbayumba mno! Mungu atusaidie tu.
Mwigulu ni changamoto kiutendaji, hakutakiwa kuwapo pale.......Nilishangaa sana Mama kukubali kupandisha kodi ya mafuta na Mpesa nilishangaa sana nikasema hata kama Mwigulu hana uwezo wa kumshauri vizuri na yeye haoni madhara kabisa ya kupandisha hizo bidhaa kwa muda mrefu nilimuamini na dhamana ningempa daah kweli kiboko...mbolea huko hainunuliki kabisaa pamoja na bidhaa zingine sijui wao wanafikiria nini...