Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
- Thread starter
- #81
Kuna watu wanaviburi sana. Hata usemeje hawawezi kuelewa. Wanasema kusikia kwa kenge ni hadi damu imtoke puani.Na zawadi ya Mercedes Benz saloon la Mzee Ruksa hela uliitoa wewe? Najua kichwani we ni mtupu ngoja nikutengulie kitendawili! Majizi aliyokuwa ameyazibia mbinu JPM sasa yamepata access kupitia kwa SSH, nawahakikishia watanzania hii Kasi ya huyu mama ikiendelea hivi dawa hospitali zitakisa itabaki chanjo ya Covid tu kutoka kwa Biden