Sio kweli. Labda kama wakati huo ulikuwa unajiunga mwenyewe na hizo huduma.Hayo Mambo mm toka naanza kutumia simu miaka ya 2009 nikiwa form III yapo
Tutafute namna ya kuwashtaki. Uzuri mi nikiwapigia narecord maelezo yao. Hii nchi sasa hivi wanyonge hawana mtetezi! Nadhani watawala karibu wote ni wabia wa hiyo mitandao. Wakipewa 10% wanakaa pembeni wanakula kwa urefu wa kamba!Juzi nimeweka salio la kawaida likakatwa vodacom hao. Nikawapigia simu huduma kwa wateja wakanambia nilijiunga sijui na huduma gani hata sizijui ndio kwanza nilizisikia siku hiyo...
Haya makato niliyaona tigo, kumbe na voda yapo?Juzi nimeweka salio la kawaida likakatwa vodacom hao. Nikawapigia simu huduma kwa wateja wakanambia nilijiunga sijui na huduma gani hata sizijui ndio kwanza nilizisikia siku hiyo. Nikamwambia aniondoe kwenyewe akasema sawa AISHANIONDOA tayari, nikamuuliza tena kama kaniondoa kwenye izo huduma kasema AISHANIONDO KABISA sitakatwa tena pesa za huduma.
Ajabu kesho yake nakatwa tena hela. Nakuta salio limepungua na ukiwatafuta jibu ni hilohilo la kujiunga na huduma zao ambazo hata hujawahi kuzisikia.
Nimewapuuza kinoma hawa!Halotel wanaongoza , ukiwapigia kwenye namba 100 hawapokei , ni wezi kabisa yaani
Siku zote unapokuwa na kiongozi dhaifu tegemea watu wenye nafasi za kumkanyaga aliye chini yao huwa wanajitawalaHuo ndio ukweli. Kuna mambo ya ajabu sana yanaendelea kwa sasa hapa nchini.
Nadhani wahusika wanatamani watunyang'anye hata kidogo tulichonacho tubaki hatuna kitu.
Gharama za maisha zipi juu na bado mitandao ya simu inakata hela kwa kisingizio cha ulikopa au ulijiunga ma huduma fulani wakati si kweli.
Huu ni uonevu! vodacom acheni utapeli
Huo ndio ukweli. Kuna mambo ya ajabu sana yanaendelea kwa sasa hapa nchini.
Nadhani wahusika wanatamani watunyang'anye hata kidogo tulichonacho tubaki hatuna kitu.
Gharama za maisha zipi juu na bado mitandao ya simu inakata hela kwa kisingizio cha ulikopa au ulijiunga ma huduma fulani wakati si kweli.
Huu ni uonevu! vodacom acheni utapeli
Tabia hii Halotel pia wanayo, Mara 4 Sasa naweka Salio la 1000, nikitaka kujiunga kifurushi naambiwa Salio halitoshi,ukiangalia,600 wamechukua , kwakweli utapeli huu sijui utakoma liniJuzi nimeweka salio la kawaida likakatwa vodacom hao. Nikawapigia simu huduma kwa wateja wakanambia nilijiunga sijui na huduma gani hata sizijui ndio kwanza nilizisikia siku hiyo. Nikamwambia aniondoe kwenyewe akasema sawa AISHANIONDOA tayari, nikamuuliza tena kama kaniondoa kwenye izo huduma kasema AISHANIONDO KABISA sitakatwa tena pesa za huduma.
Ajabu kesho yake nakatwa tena hela. Nakuta salio limepungua na ukiwatafuta jibu ni hilohilo la kujiunga na huduma zao ambazo hata hujawahi kuzisikia.
Sasa si waseme tu tunawaibia na kuwadai service chargesJuzi nimeweka salio la kawaida likakatwa vodacom hao. Nikawapigia simu huduma kwa wateja wakanambia nilijiunga sijui na huduma gani hata sizijui ndio kwanza nilizisikia siku hiyo. Nikamwambia aniondoe kwenyewe akasema sawa AISHANIONDOA tayari, nikamuuliza tena kama kaniondoa kwenye izo huduma kasema AISHANIONDO KABISA sitakatwa tena pesa za huduma.
Ajabu kesho yake nakatwa tena hela. Nakuta salio limepungua na ukiwatafuta jibu ni hilohilo la kujiunga na huduma zao ambazo hata hujawahi kuzisikia.
Binafsi hao halotel nilishaacha kabisa kutumia hiyo line ingawaje baada ya kuwalalamikia waliacha kukata.Tabia hii Halotel pia wanayo, Mara 4 Sasa naweka Salio la 1000, nikitaka kujiunga kifurushi naambiwa Salio halitoshi,ukiangalia,600 wamechukua , kwakweli utapeli huu sijui utakoma lini