Mitandao ya simu inakata hela bila mtu kujiunga na huduma yoyote. Haya mambo wakati wa Hayati Magufuli hayakuwepo

Mitandao ya simu inakata hela bila mtu kujiunga na huduma yoyote. Haya mambo wakati wa Hayati Magufuli hayakuwepo

Siyo Vodacom peke yake, hata tigo nao hivo hivo. Ni juzi tu, wameniibia 400 bila kujiunga na bila kuitumia !
 
Hii line niliyonayo nimeitumia miaka zaidi ya 10 na sijawahi kulalamikia hilo suala kwasababu halikuwahi kunikuta. Isipokuwa kwa mtandao wa halotel niliwahi kuwaeleza na hawakunikata tena.
Ila sasa hawa vodacom jana wamekata hela yangu na mbaya zaidi maelezo wanayotoa sio sahihi yanakinzana! Mara oh nilikopa, tena wanadai nilijiunga na muito kwa wanipigiao. Wapuuzi sana!

Nahitaji wenye tatizo kama langu tuungane tufungue kesi. Mi niko tayari kutafuta hela ya kugharamia wakili mahiri!
Kila.la heri upate haki yako
 
Back
Top Bottom