Mitandao ya simu kazi yake ni mawasiliano, si kutoa huduma za kibenki

Umeongea kinadharia sana.
  • Unajua kuwa nao wapo chin ya BOT (kuna kodi ya kuendelea huduma za kifedha wanazilipia BOT)
  • kuna VAT
  • Kuna wakala
  • Gharama za kukuhifadhia pesa yako
Kumbuka hawana makato ya kila mwaka kwa wateja wao kama mabenk yalivyo. Kwaiyo kwenye makato unayo katwa usizanie yote anachukua mtoa huduma peke yake
 
vodacom ifungue benki
Efficiency ni kufanya kile unachokifanya kwa uhakika uzoefu na ufanisi..., ifungue benki wakati benki zipo..., (mpaka hapa ilipo inafanya kazi zake in partnership na Banks) sio kwamba haiwezi kufanya yenyewe bali sheria zinaibana..., Sasa kwanini iingie kwenye industry nyingine ?

And if you ask me Banks are in a very tight situation na kwa Tanzania bila mkono wa BOT kuikingia na Sheria zingeshazikwa zamani sana...., (All they do the Mobile Network Providers can do better and Efficiently)
 
Umeandika manini haya? Wewe ni TAGA unataka kuhalalisha dhulma zenu kwa wananchi
 
Dunia inakimbia kwa kasi mno wewe bado una mawZo ya turudi miaka ya 80's
kumbe unajua dunia inakimbia, sasa kwa nn unapinga kuchangia maendeleo yatakayo kufanya uende mbele zaidi?!!!
Lipa kodi kwa ajili ya maendeleo yako na ya kizazi chako.
kukataa kuchangia maendeleo yako ndio unajirudisha nyuma ww mwenyewe.
Mimi nina hamasisha twende mbele kwa mbele, tulipe kodi.
 
Kumbe watumiaji wa mitandao ya simu tunaibiwa sana;
1.inasemekana Dk.1 unayo tumia kuzungumza kupitia mtandao wa simu sio sawa na Sekunde 60 ktk saa yako ya mkononi, kwa maaana mitandao inatuibia sisi watumiaji.

2. Inasemekana upikipiga sim kwa mtu hata kama haijapokelewa kuna SMS unatumiwa ikionyesha kuwa umetumia sekunde kadhaa!!
kuna udanganyifu mkubwa unao fanywa na baadhi ya mitadao ya simu. pamoja na kuikosesha serikali mapato halali.
TCRA Tafadhali chunguzeni myanya hii.
 
Ebu kuwa serious "inasemekana" ina maana hauna uwakika na unacho kisema? Alaf ata kama irakuwa ni kwel Zungu alicho kisema kwann gharama aongezewe mteja ambea anaibiwa badala ya mtoa huduma anae iba?
 
Ebu kuwa serious "inasemekana" ina maana hauna uwakika na unacho kisema? Alaf ata kama irakuwa ni kwel Zungu alicho kisema kwann gharama aongezewe mteja ambea anaibiwa badala ya mtoa huduma anae iba?
Zungu yeye kasema yeye kwenye simu yake anapigwa ila ww pia unaweza kufanya utafiti.
binafsi nimefanya utafiti kwa kweli mitandao ya simu inatuibia hivyo TCRA wanapaswa waokoe fedha hizo haraka sana.
 
Wewe KWA akili hizi siku ukipewa wizara,Mwigulu atakua na afadhali
 
Mtoa uzi kakojoe ulale tena inaonekana bado una usingizi..
 
Sasa kama mabenki yamelala je
 
Wameomba leseni kufanya hiyo biashara huwezi kuzuia hata yanga au simba kuomba leseni ya kufanya huduma za kibenki wakiamua
Akisema hivyo basi hata simba na yanga kazi yao ni kucheza mpira na sio kuuza jezi kwa mashabiki
 
Mbona umeishia njiani mkuu.....
 
Kwahiyo huduma za kibenki nazo zizuiwe kwenye simu? Unaishi karne ya nyuma mnooo
 
TCRA watimize wajibu wao kikamilifu na kwa weledi wa hali ya juu.
tunacho taka Serikali isiibiwe na makampuni ya mitandao ya simu, walipe kodi ya serikali inayo takiwa.
Nimetafakari; Hivi inawezekanaje TCRA inakosa mtambo wa kufuatilia mwenendo wa biashara za mawasiliano kwa kila mtandao?!
 
Ha ha ha....kama wajanja wang'ang'anie waone nguvu ya umma....Pesa zisafiri kwa mabasi !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…