adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 3,152
- 4,843
Roho mbaya mwanzo wa uchawi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeongea kinadharia sana.Wapumbavu Sana eti wanalia Lia ooh wateja wamepunguza kutuma miamala sijui itaua biashara mara tozo zipunguzwe, pumbavu sana mbona kwenye makato wao wanapata kikubwa kuliko serikali.
Wakitaka kipunguzwe na wao wapunguze vinginevyo wabaki kwenye core business yao
Efficiency ni kufanya kile unachokifanya kwa uhakika uzoefu na ufanisi..., ifungue benki wakati benki zipo..., (mpaka hapa ilipo inafanya kazi zake in partnership na Banks) sio kwamba haiwezi kufanya yenyewe bali sheria zinaibana..., Sasa kwanini iingie kwenye industry nyingine ?vodacom ifungue benki
Umeandika manini haya? Wewe ni TAGA unataka kuhalalisha dhulma zenu kwa wananchiKimsingi jukumu la msingi la mitandao ya simu ni kutoa huduma ya mawasiliano kwa wateja wake na sio kutoa huduma za kibenki.
Kimsingi huduma za kibeki, yaani kutuma na kupokea fedha ni jukumu la Mabenki lakini mitandao ya simu imejiongeza tu na kutumia teknolojia ya mawasiliano lakini Mabenki ndio wanapaswa kujihusisha na jukumu la kutuma na kupokea fedha.
kumbe unajua dunia inakimbia, sasa kwa nn unapinga kuchangia maendeleo yatakayo kufanya uende mbele zaidi?!!!Dunia inakimbia kwa kasi mno wewe bado una mawZo ya turudi miaka ya 80's
Ebu kuwa serious "inasemekana" ina maana hauna uwakika na unacho kisema? Alaf ata kama irakuwa ni kwel Zungu alicho kisema kwann gharama aongezewe mteja ambea anaibiwa badala ya mtoa huduma anae iba?Kumbe watumiaji wa mitandao ya simu tunaibiwa sana;
1.inasemekana Dk.1 unayo tumia kuzungumza kupitia mtandao wa simu sio sawa na Sekunde 60 ktk saa yako ya mkononi, kwa maaana mitandao inatuibia sisi watumiaji.
2. Inasemekana upikipiga sim kwa mtu hata kama haijapokelewa kuna SMS unatumiwa ikionyesha kuwa umetumia sekunde kadhaa!!
kuna udanganyifu mkubwa unao fanywa na baadhi ya mitadao ya simu. pamoja na kuikosesha serikali mapato halali.
TCRA Tafadhali chunguzeni myanya hii.
Zungu yeye kasema yeye kwenye simu yake anapigwa ila ww pia unaweza kufanya utafiti.Ebu kuwa serious "inasemekana" ina maana hauna uwakika na unacho kisema? Alaf ata kama irakuwa ni kwel Zungu alicho kisema kwann gharama aongezewe mteja ambea anaibiwa badala ya mtoa huduma anae iba?
Wewe KWA akili hizi siku ukipewa wizara,Mwigulu atakua na afadhaliKimsingi jukumu la msingi la mitandao ya simu ni kutoa huduma ya mawasiliano kwa wateja wake na sio kutoa huduma za kibenki.
Kimsingi huduma za kibeki, yaani kutuma na kupokea fedha ni jukumu la Mabenki lakini mitandao ya simu imejiongeza tu na kutumia teknolojia ya mawasiliano lakini Mabenki ndio wanapaswa kujihusisha na jukumu la kutuma na kupokea fedha.
Mtoa uzi kakojoe ulale tena inaonekana bado una usingizi..Kimsingi jukumu la msingi la mitandao ya simu ni kutoa huduma ya mawasiliano kwa wateja wake na sio kutoa huduma za kibenki.
Kimsingi huduma za kibeki, yaani kutuma na kupokea fedha ni jukumu la Mabenki lakini mitandao ya simu imejiongeza tu na kutumia teknolojia ya mawasiliano lakini Mabenki ndio wanapaswa kujihusisha na jukumu la kutuma na kupokea fedha.
Sasa kama mabenki yamelala jeKimsingi jukumu la msingi la mitandao ya simu ni kutoa huduma ya mawasiliano kwa wateja wake na sio kutoa huduma za kibenki.
Kimsingi huduma za kibeki, yaani kutuma na kupokea fedha ni jukumu la Mabenki lakini mitandao ya simu imejiongeza tu na kutumia teknolojia ya mawasiliano lakini Mabenki ndio wanapaswa kujihusisha na jukumu la kutuma na kupokea fedha.
Akisema hivyo basi hata simba na yanga kazi yao ni kucheza mpira na sio kuuza jezi kwa mashabikiWameomba leseni kufanya hiyo biashara huwezi kuzuia hata yanga au simba kuomba leseni ya kufanya huduma za kibenki wakiamua
Mbona umeishia njiani mkuu.....Kimsingi jukumu la msingi la mitandao ya simu ni kutoa huduma ya mawasiliano kwa wateja wake na sio kutoa huduma za kibenki.
Kimsingi huduma za kibeki, yaani kutuma na kupokea fedha ni jukumu la Mabenki lakini mitandao ya simu imejiongeza tu na kutumia teknolojia ya mawasiliano lakini Mabenki ndio wanapaswa kujihusisha na jukumu la kutuma na kupokea fedha.
Ha ha ha....kama wajanja wang'ang'anie waone nguvu ya umma....Pesa zisafiri kwa mabasi !!!Serikali gani unaongelea?
Maana hii tuliyonayo tayari imesalimu amri, inaenda ku review hizi gharama. Otherwise wakiendelea kung'ang'ania hizo tozo wananchi wataanza kusafirisha pesa kwa mabasi na bodaboda, na hata hiyo tozo yao itapotea mazima. Note this comment