Mitandao ya Tanzania ni ya hovyo mno, Tigo, Vodacom, Airtel internet ni takataka tu. Wanatuibia pesa zetu

Mitandao ya Tanzania ni ya hovyo mno, Tigo, Vodacom, Airtel internet ni takataka tu. Wanatuibia pesa zetu

Hawa halotel nao majanga tu, wanakupa mb nyingi halaf network ukaitafute mwenyewe
Kwa M2M zimeongezwa speed na ndomana azipigi simu wala kutuma SMS, na namba zake zipo tofauti... ivo zinakasi ya kutosha
 
Huduma za Internet kwa mitandao ya Tigo, Voda na Airtel kwa Tanzania ni mbovu mno.

Mtu unaweka bundle lakini mpaka inaisha unakuta hujatumia ipasavyo kutokana na kukatika katika kwa huduma husika.

Muda mwingi network hakuna hata ikiwa ni maeneo ya mjini kabisa.

Hivi wahusika mnajielewa kweli??

Kwanini mnachukua pesa zetu halafu mnatoa huduma mbovu.

Acheni wizi kwa watanzania, mnachukua pesa bila kutoa huduma za kueleweka.
Na waziri Nape yuko bizę tu kupiga punyeto, dogo hafai kabisa kuwa waziri hata kidogo na ndiyo maana Magufuli alimpiga chini
 
Wakuu, kwenye Internet service yenye speed ya uhakika na bila wizi wizi wa data (data hewa), nijiunge na kampuni ipi? kati ya hizi tatu:

✓ TIGO POSTPAID
✓ HALOTEL M2M
✓ AIRTEL SME

Matumizi kusudiwa: Online Studies with live tutorials and downloads.

Cc: Mwl.RCT , Chief-Mkwawa , BROKE BOYS , OKW BOBAN SUNZU

-Kaveli-
 
Test speed eneo husika, kila sehemu mtandao unabadilika,

Hapo Tigo postpaid unafunga nao ndoa ni lazima ulipe kila mwezi, Airtel na Halotel unajiunga tu mwenyewe ukitaka.
 
Wakuu, kwenye Internet service yenye speed ya uhakika na bila wizi wizi wa data (data hewa), nijiunge na kampuni ipi? kati ya hizi tatu:

✓ TIGO POSTPAID
✓ HALOTEL M2M
✓ AIRTEL SME

Matumizi kusudiwa: Online Studies with live tutorials and downloads.

Cc: Mwl.RCT , Chief-Mkwawa , BROKE BOYS , OKW BOBAN SUNZU

-Kaveli-
Kila mtandao una uzuri na ubovu wake
Tigo inakulazimisha ulipe kila mwezi, ila mtandao ni kawaida
Halotel unajiunga ukitaka ila mtandao wao hafifu. Voda ni kiboko kwenye mtandao na coverage yake ni kubwa ila nilienda kwa wakala anganiambia hii huduma waliacha kutoa.
Kama una uhakika na pesa kwa mwezi chukua tigo, kama unataka bando jingi ila mtandao hafifu chukua Halotel
 
Aisee juzi nimepewa offa ya GB3 hadi leo haijawahi.kushika internet data hazipandi ila ukichek salio nina GB3.
 
Kila mtandao una uzuri na ubovu wake
Tigo inakulazimisha ulipe kila mwezi, ila mtandao ni kawaida
Halotel unajiunga ukitaka ila mtandao wao hafifu. Voda ni kiboko kwenye mtandao na coverage yake ni kubwa ila nilienda kwa wakala anganiambia hii huduma waliacha kutoa.
Kama una uhakika na pesa kwa mwezi chukua tigo, kama unataka bando jingi ila mtandao hafifu chukua Halotel

Thanks chief.

-Kaveli-
 
Natamani nitukaneee lakini naona hasira yangu haitaisha...yaaan hawa jamaa wanatuibia live unaweka bando mtandao ubakua goigoi...mamaaaee zao walisha nikosesha madili ww data umewasha watu wanakupigia whatsapp hawakupati
 
Halotel Ni Jini nyonya damu Asee Nimetumia Mitandao Yote Lakini Halotel Ni Balaa Nishaweka Vocha Nikafungua Data Mb zikaisha
Unatumia Normal simCard ambayo ina 100%, tafuta Laini ya M2M ina 0% data depression, so kama una GB1 unaweza download kitu cha GB1 mpaka kika complete.
 
Wakuu, kwenye Internet service yenye speed ya uhakika na bila wizi wizi wa data (data hewa), nijiunge na kampuni ipi? kati ya hizi tatu:

✓ TIGO POSTPAID
✓ HALOTEL M2M
✓ AIRTEL SME

Matumizi kusudiwa: Online Studies with live tutorials and downloads.

Cc: Mwl.RCT , Chief-Mkwawa , BROKE BOYS , OKW BOBAN SUNZU

-Kaveli-
Jiunge Halotel M2M, imeboreshwa zaidi maana ime specialise kwenye internet tu. Speed inakuwa bora zaidi.
 
Niko mpakani huku natumia Safaricom ,hawana huu ujinga, Safari Com hawezi fanya uhuni kwa Wakenya watakinukisha dakika sifuri. Tanzania tatizo wanaona raia ni mazeta, ndio maana wanafanya watakavyo
Kwa upande wa Tanzania sio Mitandao tu hata Bank loan wanaibia raia yaani nawaza kuhama nchi hii kwa muda hadi hali itakapotengemaa. Yaani viongozi ni kama mazombie yapoyapo tu.

Kuna wkt nawaza hivi ?au ndio maana mange anawatukanaeee? Yaani waziri yupo tu
 
Hivi ile pocket AIRTEL router ya 4G (Inauzwa TSH 50,000), ina UNLIMITED package? SIM card yake inakubali na kwenye smartphone?

Cc Kang

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom