Renegade
JF-Expert Member
- Mar 18, 2009
- 7,221
- 6,940
Ina maana hata katiba ya JMT Huijui? Sidhani kama unajua kuwa kuna sheria ya vyama vya Siasa.weka kifungu cha katiba kinachosema hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina maana hata katiba ya JMT Huijui? Sidhani kama unajua kuwa kuna sheria ya vyama vya Siasa.weka kifungu cha katiba kinachosema hivyo
Simu tu mkuu hiiJifunze kuandika
Ukiona hivyo uchafu umezidi! Ukiwa msafi chawa hawakusogelei!!!Kila siku CHAWA wanaongezeka kwa kasi ya 5G
CHAWA MWINGINEMambo aliyofanya samia tangu aingie madarakani
1. Kuondoa retention fee ya wadaiwa wa HESLB ambyo ilikuwa 6% mama akaifuta.
2. Miradi yote ya awamu ya tano kaimaliza yote na anapambana na mingine.
3. Ameongeza uwekezaji nchini na sasa kqsi ya mzunguko wa pesa ni mkubwa sana. ukitaka kujua hilo njoo mipakani
4. Massive unemployment aliyoiacha jpm inapungua slowly kwa kuajiri kila kada mfano ameondoa lile zuio kwamba ilinuwe mwanajeshi au polisi lazima upitie jkt na ametoa ile age limit kwamba ili kuaply ualimu aunudaktari lazima uwe ulimaliza kuanziq 2015. Kwa sasq hata kama ulimaliza 2008 ruksa kuaply.
5. Sector binafsi imenawili tremendously na ajira za kumwaga kwa vijana. Mfano bureu de change alizofuta jpm sasa zinafanya kazi
6. Utalii umepamba moto mpaka yale mahoteli yaliyofungwa kibabe na jpm yanafanya kazi sasq mfano ngurdoto.
7. Wale waliofukuzwa kikatili na jpm eti vyeti feki wamerurishwa kazini na ndoa zimeimarika.
Asante mama kwa utu.
Wewe unasema 2035 mimi nasema 2040 kuendelea huko hadi hakinai.Mambo aliyofanya samia tangu aingie madarakani
1. Kuondoa retention fee ya wadaiwa wa HESLB ambyo ilikuwa 6% mama akaifuta.
2. Miradi yote ya awamu ya tano kaimaliza yote na anapambana na mingine.
3. Ameongeza uwekezaji nchini na sasa kqsi ya mzunguko wa pesa ni mkubwa sana. ukitaka kujua hilo njoo mipakani
4. Massive unemployment aliyoiacha jpm inapungua slowly kwa kuajiri kila kada mfano ameondoa lile zuio kwamba ilinuwe mwanajeshi au polisi lazima upitie jkt na ametoa ile age limit kwamba ili kuaply ualimu aunudaktari lazima uwe ulimaliza kuanziq 2015. Kwa sasq hata kama ulimaliza 2008 ruksa kuaply.
5. Sector binafsi imenawili tremendously na ajira za kumwaga kwa vijana. Mfano bureu de change alizofuta jpm sasa zinafanya kazi
6. Utalii umepamba moto mpaka yale mahoteli yaliyofungwa kibabe na jpm yanafanya kazi sasq mfano ngurdoto.
7. Wale waliofukuzwa kikatili na jpm eti vyeti feki wamerurishwa kazini na ndoa zimeimarika.
Asante mama kwa utu.
SawaMambo aliyofanya samia tangu aingie madarakani

For sure,Mambo aliyofanya samia tangu aingie madarakani

Lazama tuseme mazuri yake. Mbona jpm aliumda mpaka program ya kumsifu yeye tu kupitia tbc eti kishindo cha awamu ya tano na vyombo vyote vya habari vikaelekezwa vimube yeye tuMbona mnatumia nguvu nyingi kumnadi Mama?
Mama ameunda Tume yake kuhakikisha anabaki madarakani! Jeshi lipo! Wasi wasi wenu ni nini?
Tuachieni wapiga kura tuje tuamue kwenye sanduku la kura!