Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
"Hata ukimtwanga mpumbavu kwa mchi kinuni pamoja na ngano; Upumbavu wake hautamtoka".
Andiko hili Lina maana kubwa sana haijairishi lingekuwa nimeandikwa na shabani Robart au Eric shigongo bado lingebaki kuwa na uhalisia halisi.
........
Naweza kusema upumbavu ndo daraja la mwisho kabisa la kutokuwa na akili.Pengine mpumbavu na chizi naweza kusema chizi ana ufadhari akipatiwa matibabu stahiki anaweza kurudi katika hali yake ya kawaida ama nusu ya akili yake ya awali!!
Kukubali kuwa CHAWA ni zaidi ya mtu mpumbavu na tahira!!!
kabisa kijana wa kiume tegemewa wa familia yako jamii na Taifa kwa ujumla unageuka kuwa chawa Really?
Hivi familia yako inakutazama kqa mtazamo gani? Hao watoto je kuna kitu watatoa kwako?
Hivi umewahi kujiuliza kama wewe ni chwa Promax kwa sasa je kizazi chako kitakuwa na uchawa wa kiwango gani?
Tutegemee Taifa la watu wa aina gani hapo badae?
Nawaza kuhusu Taifa la kesho kama hali itakuwa hivi. Vijana wa CCM nchi hii mnaiharibu sana kwa sababu kama sio wote IQ zenu ni ndogo sana au hamna kabisa.
Lakini kaeni mkijua tunatekeza nchi hii kwa sababu ya upumbavu wenu.
Hizi njaa zenu za leo zitaligharimu sana hili taifa siku zijazo na tiyari zimeligharimu.