Tough lady
Senior Member
- Jul 24, 2013
- 151
- 183
Wadau nahitaji kupanda miti kuzunguka eneo langu, Nahitaji miti inayokwenda juu mfano Miashoki (isiwe ya kitambaa na kuhitaji pruning ya mara kwa mara).
Nimewaza kununia mihashoki lakini sijui kama inawahi sana kurefuka. Hivo naomba kama kuna mtu ana experience na speed ya ukuaji wa miashoki anijuze. Lakini pia napokea mawazo ya miti mingine ambayo naweza kutumia inayoendana na miashoki.
#NB; Kwa mtakaosema miashoki ina mikosi, naomba kuwajulisha kuwa nshalisikia kwa watu hilo na kwangu halina tatizo. Asanteni😋