Miti ipi inakua haraka inafaa kwa fensi?

Miti ipi inakua haraka inafaa kwa fensi?

Huu mmea unaitwaje ?

Mi naona unafaa, pia unapatikana kirahisi
IMG_20210915_143131.jpg
 
Majani yanachafua sana.

Ujiandae kuweka bajeti ya kufagia kukusanya na kupeleka dampo kuchoma.

Kwa mazingira ya mjini saingine ni ngumu kuchoma takataka nyumbani.
Utasumbua majirani kwa moshi, hatari ya kuchoma nyaya za umeme
 
Labda hii mada tungeweza kwenda hatua moja mbele. Je katika hii mimea hakuna labda yenye inafukuza wadudu wakali kama ni shambani labda nyoka hawaipendi wanakimbia??
 
Back
Top Bottom